Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

Mtu pekee alieweza kumkosoa Jiwe ni Zito kabwe, Lema,Tundu lisu, Profesa mmoja muhaya nimmemsahau jina, mange kimambi, Thobiasi kisandu mchaga aneishi marekani,askofu kakobe na askofu mmoja wa huko kagera.
Hawa wote aliwanyan'ganya ubuñgena kuwafunga jela.
Huwa najiuliza sana mwenendo wa jiwe, Alikuwa muoga kwenye sanduku la kura kuliko maraisi wote wa mfumo wa vyama vingi.
Sijui kwa nini alichagua upande wa hujuma, je asingeweza kufanya mageuzi bila kuhujumu watu! Vitendo vyake vinatia doa mazuri aliyoyafanya .
Ingekuwa marekani au ulaya kila alichofanya kingeandikwa kwenye kitabu na watu wangejua yote mazuri kwa mabya, Tanzania wataandika mazuri tu, ubaya utafunikwa hata hivyo uwepo wa hii mitandao tunayo nafasi ya kuandika mazuri na mabaya ya maraisi wetu japo hatuna data za uvunguni hasa katika matendo ya kupiga watu risasi na hujuma zingine.
 
Anegjb
 
Je angesema akauwawa nani
Angetunza familia yake?
 
daah sometyms najiulizaga sana zile nchi unakuta ditketa limekaa miaka 30 wananchi wake wanakuwa kwenye hali gani?
 
Wange uliwa na malimbukeni yanayotaka sifa
 
Alikuwa anaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…