Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

Mtu pekee alieweza kumkosoa Jiwe ni Zito kabwe, Lema,Tundu lisu, Profesa mmoja muhaya nimmemsahau jina, mange kimambi, Thobiasi kisandu mchaga aneishi marekani,askofu kakobe na askofu mmoja wa huko kagera.
Hawa wote aliwanyan'ganya ubuñgena kuwafunga jela.
Huwa najiuliza sana mwenendo wa jiwe, Alikuwa muoga kwenye sanduku la kura kuliko maraisi wote wa mfumo wa vyama vingi.
Sijui kwa nini alichagua upande wa hujuma, je asingeweza kufanya mageuzi bila kuhujumu watu! Vitendo vyake vinatia doa mazuri aliyoyafanya .
Ingekuwa marekani au ulaya kila alichofanya kingeandikwa kwenye kitabu na watu wangejua yote mazuri kwa mabya, Tanzania wataandika mazuri tu, ubaya utafunikwa hata hivyo uwepo wa hii mitandao tunayo nafasi ya kuandika mazuri na mabaya ya maraisi wetu japo hatuna data za uvunguni hasa katika matendo ya kupiga watu risasi na hujuma zingine.
 
Kwanini Uttoh hakusema hayo maneno miaka yote hiyo Magufuli akiwa anapokea 'gawio' ?
Jibu ni moja tu, Uttoh alikuwa anaogopa kusema. Hivyo asishangae wala asilaumu wakuu wa mashirika yaliyotoa 'gawio' kwa Magufuli. Kwanini? Uttoh huyu huyu na wale watoa 'gawio' wote walikuwa kwenye kikapu kimoja kinaitwa woga.
Anegjb
 
Je angesema akauwawa nani
Angetunza familia yake?
 
Alikuwa anaogopa

Back
Top Bottom