Former Chief Justice David Maraga amekamatwa leo wakati wa maandamano dhidi ya mpango wa kugawa ekari 76 za Nairobi National Park kwa ajili ya upanuzi wa Bomas of Kenya na kuhamisha Animal Orphanage.
Maraga pamoja na wanaharakati wengine walikuwa wameandamana kando ya Lang’ata Road wakipinga mradi huo wakisema park hiyo ni national heritage na haipaswi kutumika kwa ujenzi bila public participation.
Wanaharakati wanasema eneo hilo linatarajiwa kutumika kwa parking na miundombinu mingine chini ya mradi wa Bomas International Convention Centre (BICC) wenye gharama ya zaidi ya KSh 42 billion.
Baada ya kukamatwa pamoja na watu wengine wanane, Maraga aliachiliwa lakini akakataa kuondoka hadi wanaharakati waliobaki waachiliwe. Wabunge pia wameanza kuhoji gharama kubwa ya mradi huo huku mjadala kuhusu mustakabali wa Nairobi National Park ukiendelea kushika kasi.
Source: Citizen digital