BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
Kwa wale tuliosoma Galanos A level miaka tajwa hapo juu, naomba mwenye taarifa za watu wafuatao wani pm na ikiwezekana nipate contacts zao
- Shumbi Jackson, alikuwa Prefect mpole sana. Alimaliza 1999.
- Lohay (jina la pili linanitoka, nasikia yuko Babati ni mwanasheria lakini sina contacts. Alimaliza 1999
- Amosi.... jina la pili linanitoka. Alimaliza 1999 na alikuwa mkimbiaji sana.
- Ezekiel Awaki, mara ya mwisho nilisikia yuko UDOm baada ya hapo sijui kaenda wapi.
- Massawe- alikuwa mdogo wa mwili na mpole sana, alimaliza 2000
- Karatu boy- alikuwa mcheshi sana lakini mpenda masifa na mademu. naye alimaliza 2000. Alikuwa rafiki sana wa Peter stanslaus ambaye sasa hivi nasikia yuko BOT.
- Elias Amri, mrefu mweupe, ni mbulu, mpole sana.
- Sijaona Swale, kwao ni Iringa/Njombe kama sikosei. Alikuwa mrefu mweusi anapenda sana kucheza basket.
- Someni Mteleka, alimaliza 2000. Alikuwa anakuja na shuka darasani anapiga buku mpaka tuliogopa
- Mwalimu wa economics, nadhani jina lake alikuwa anaitwa Gurisha. kama nimekosea nirekebishwe.