Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #21
Unabandika maji ya ugali na unga hauna?Utakunywa maji ya moto?
Ww much know mbona unalalamika sasa?!Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo..... Acha kujifanya much know.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Wewe mchokozi kilichokuchekesha nini hasa?
Mkuu sijazungumzia kutongoza. Ni kweli mtalaka hatongozwi. Kuwa na unga kabisa kabla hujabandika maji.Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo. Wahenga wanasema "Mtalaka hatongozwi".
Kalagabaho na ushamba wako sasa...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
ulitaka kwenda kumgegeda wakati unae mwingine(usaliti)....ndo maana ukakutwa na hizi hasara
1.25k
2.chakula
3.muda
4.kuchafua boxer..hizi hasara ndo adhabu yako ..mkuu
bora hiyo 25,000 ungeninunulia bia ha hahaha
Mkuu sijakutukana na wala sikukuuliza wewe kinachokuchekesha. Hivyo kuwa na heshima ukitaka kuheshimiwa.Ukijua kilicho mchekesha wewe utafaidika nini Hasa???? Acha wivu wa kijinga wewe!!
Mshamba kama Ex...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Basi sawa
Yani nimeshangaa sana mtoa mada bado hana mbinu zakutosha zakuishi town anatakiwa kupigwa msasa wakutosha!!!Mkuu umenichekesha sana yaaan hata bado hamjaonana umeshalipia gesti sasa angepata dharura na kutokuja kabisa ingekuwaje? anyway siku nyingine usiwe na maamuzi ya mwendokasi
umefanya siku ya leo kwangu kuwa nzuri big up sana. ila pole kwa maumivu ya loss
ha haha basi ungerudi ulalae tu ubailishe mazingira ha hahaahaSitumii bia mimi... Hivo siwezi kutoa hela yangu inunuliwe bia. Ni dhambi.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Eti ile kitu huwa inauma kama imeplan kupata kitu halafu isipate ni kweli?
Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo..... Acha kujifanya much know.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Usiombe ukutane na hayo maumivu ya dusherere kusimama muda mrefu afu ukakoswa game afu ukapanda trekta, kudadeki utakunya.Ndio.Ni kweli. Maana mishipa huwa inasimama kinoma. Sasa ikija kulegea na haikupata kupenya kwa joto la 37'C maumivu yake si ya kitoto....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]