Ex-gf wangu kanitia hasara tuu...!!

Ex-gf wangu kanitia hasara tuu...!!

Unabandika maji ya ugali na unga hauna?Utakunywa maji ya moto?


Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo. Wahenga wanasema "Mtalaka hatongozwi".
Kalagabaho na ushamba wako sasa...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Unachemsha Maji wakati Kuku mwenyewe hujamkamata bado?? Hii Kali huu Mwaka uishe tu kwanza Aisee
 
Mkuu umenichekesha sana yaaan hata bado hamjaonana umeshalipia gesti sasa angepata dharura na kutokuja kabisa ingekuwaje? anyway siku nyingine usiwe na maamuzi ya mwendokasi
 
Wewe mchokozi kilichokuchekesha nini hasa?


Ukijua kilicho mchekesha wewe utafaidika nini Hasa???? Acha wivu wa kijinga wewe!!
Mshamba kama Ex...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo. Wahenga wanasema "Mtalaka hatongozwi".
Kalagabaho na ushamba wako sasa...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mkuu sijazungumzia kutongoza. Ni kweli mtalaka hatongozwi. Kuwa na unga kabisa kabla hujabandika maji.
 
ulitaka kwenda kumgegeda wakati unae mwingine(usaliti)....ndo maana ukakutwa na hizi hasara
1.25k
2.chakula
3.muda
4.kuchafua boxer..hizi hasara ndo adhabu yako ..mkuu

Sasa huyu mwingine alikua Period mkuu..... Juzi nimeuita gheto namuandaa nabakiza chupi eti anasema yuko MP.
Ndio maana nikaona nipoze maganzi yangu kwa kupasha Kiporo mkuu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ukijua kilicho mchekesha wewe utafaidika nini Hasa???? Acha wivu wa kijinga wewe!!
Mshamba kama Ex...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mkuu sijakutukana na wala sikukuuliza wewe kinachokuchekesha. Hivyo kuwa na heshima ukitaka kuheshimiwa.
 
Mkuu umenichekesha sana yaaan hata bado hamjaonana umeshalipia gesti sasa angepata dharura na kutokuja kabisa ingekuwaje? anyway siku nyingine usiwe na maamuzi ya mwendokasi
Yani nimeshangaa sana mtoa mada bado hana mbinu zakutosha zakuishi town anatakiwa kupigwa msasa wakutosha!!!
 
umefanya siku ya leo kwangu kuwa nzuri big up sana. ila pole kwa maumivu ya loss


Aksante mkuu... Naamini hii inawatokea masela wengi tu humu...
Sema wanajifanya wajaaanja.. Kumbe washaaamba (kama Ex-gf wangu)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Hapo PATAYA nimeshaamisha majeshi mimi siku hizi naenda KINYAIYA pub pale,
Upande wa pili wa barabara pembeni kidogo ya landmark hotel kwa sasa ni ubungo hostel, pale cha fasta ata buku 15 unapata room.
 
Eti ile kitu huwa inauma kama imeplan kupata kitu halafu isipate ni kweli?


Ndio.Ni kweli. Maana mishipa huwa inasimama kinoma. Sasa ikija kulegea na haikupata kupenya kwa joto la 37'C maumivu yake si ya kitoto....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ndio. Hata ungekua wewe ungelifanya hivo hivo..... Acha kujifanya much know.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]

Hapana mkuu..! hata Mi siwezi kufanya hiyo kitu.
Yaani kuona simu yake tu, ushaConfirm kuwa anataka mchezo. Hata kama angekuwa ni demu wako, huwa kuna kumpanga kwanza, hata kwa lugha ya utani, na mafumbo kidogo.

Ila hapo mkuu; ulikurupuka tu! ulim-underestimate sana huyo demu wako.
NAAMINI HUTARUDIA TENA; UMESHAISOMA NAMBA TAYARI.
 
Ndio.Ni kweli. Maana mishipa huwa inasimama kinoma. Sasa ikija kulegea na haikupata kupenya kwa joto la 37'C maumivu yake si ya kitoto....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Usiombe ukutane na hayo maumivu ya dusherere kusimama muda mrefu afu ukakoswa game afu ukapanda trekta, kudadeki utakunya.
 
Back
Top Bottom