miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ha haha mmh sijui alishafarikiNgoja niunganishe dots, ndugu yangu huyu bila shaka
pole sana mkuu ila hata mi nishamfanyia mtu hivyo alichukia sema nilienda mwenyewe sema nikagoma kuingia ndani nataka kukaa nje ha hahaha nakumbuka jamaa aliomba akawa mpole hadi machozi yanamlenga lenga mi nimekaza napiga maji tu huwezi amini aliondoka bila kuaga nakuniachia bili nikamuita muhudumu wa lodge tukashauriana tufanyaje akasema anarudisha nusu ya bei itaingia kwenye vinywaji ... ila ameshafariki yule kaka alale kwa amani
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umerogwa si bure..
bia ni dhambi lakini ngono ...??!
Navuta picha angekuja peke yake halafu akakuambia yupo kwenye period...naona ungemla hivyo hivyo [emoji3]
Hhhhaaaaaa
lengo lilikuwa kula maji na si kubanjuana kufika pale naona anahangaika na wahudumu mmh namcheki tu .. nina tatizo nikinywa huwa sipendi kubanjuliwa kabisa yeye alitaka kuforce.. mkuu ila mnakuwaga mafala mkiwa mnaomba mbunye , ha hahaha nacheka sababu huwa mnaongeaga kama mate yamejaa mdomoni ha ahahahaSasa kwanini na wewe ulimbania ilhali ulijua kabisa sehemu mlipoenda lengo ni moja tuu.....
Ulikua unataka kumkomoa ama?? Unyama huo..... Dhambi....!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Yalishawahi kunikuta hayo,,bora yako Mkuu ulikuwa unamahusiano Mengine,.
Me mwenzako nilikuwa single almost Kama miezi 2 cjaiona tundu coz niliumizwa Sana kiac kwanza nikawa nimepoteza hisia.
Sasa hormones zilipoanza kufanya kazi yake, zilifanya kazi Kweli Kweli kiac kwamba genye zilipanda Kwa kazi zaid ya serikali ya anko Magu.
Nikaona isiwe tabu Kuna ex wangu flan alikuwa ananisumbua Sana cku za nyuma akitaka turudiane nikawa namkatalia coz nilikuwa na mahusiano Mengine.
Nikamcall nikamwambia tuonane akakubali nikafanya yoote uliyoyafanya but nikaingia nae room na mzigo nikanyimwa coz alikuwa haniamini Kama nimerudi mazima kwake. Alihisi nataka kupasha kiporo then nisepe. Niliumia Sana mpaka Leo Sina Jami nae.
Mkuu so kuzini sio zambi hakunaga zambi ndogo
Alafu unge force king tu una mtext oya nataka mambo inakuwaje
ULichokosesa engineer hapo ni kimoja, kumpeleka UDSM kula kuku. Ungempeleka PATAYA kulekule, then unamuomba uzuru Binamu yake, '' samahani nina mazungumzo na nduguyo kidogo'' then unampandisha ROOM.Hapo tatizo lilikuwa nini? Inawezekana hata huyo BInamu yake alikuwa anajua kuwa anamleta ndugu yake kuliwa. Wewe ukaleta ubwege.
Next time, usirudie kosa mwana.
Nawacheka woteeUnamcheka Ex-gf wangu ama unanicheka mimi......
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Alikuwa unasubiri aombwe yeye, teh teh teh.
Mi nakumbuka kuna wangu alikuwa anakujaga na mwenziwe, nampandisha nyege mpaka mwenyewe anamwambia mwenzie'' Ngoja nikazipunguze''. Haooooooooooooooooo, tunalekea kugaiana.
Yan uo ndo muda napnaga wakaka wa ajabu m2 akikupgia cm tu bas we unawaza mgegedo muache uzuz
Hahaaa Hahaaa mada kachafukwa
kwani shule mnafungua lini maana hiyo hela ulochanga ndo inaisha usije pewa hela ya ada ukala na yenyewe nakushauri mdogo wangu anza kufanya home work ukienda shule uwe fit
Dah..yaani hata hesabu ndogo tu inakushinda... 1+ 2 = +3...halafu unajiita injinia😎😎
Ilishawahi kunitokea hii nilikutana na x-gf mlimani city nikampakia kwenye gari hadi pale mtanzania sinza kwenye bar. Baada ya stori mbili tatu nikaenda hotelini kuchukuwa room ya 35k kuja kumuomba tuhamie juu akakataa kata kata nikaona isiwe shida ikabidi nimrihusu aondoke then nikabadili gia kwa muhudumu wa hotel. Walah mambo niliyopata kwa muhudumu siwezi kusahau. Kazi yangu ilikuwa kutegesha mashine tu nje ndani na miuno yote alikuwa anapiga yeye