Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

Mzee mimi yai linanisumbua lakini yai ulilotema humu ni la mbuni ,hakika

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Splendid.

I actually love it.

Have just been so lazy the past one year.
Sorry for the late reply, niko vijijini love Karucee so network inasumbua balaa...

Kuhusu mtizi... We're going to start afresh ila ngoja bwana jobo apite kwanza...
 
Tunakumbushana tu. Kuna kimbunga kinakuja Likud.

Kilo zako zitakusaidia ama ndo utapukutishwa?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]

Mi Nipo salama kabisaaa na kilo zangu nipo kama nanga.
Hawa wasio na nyama kimbunga kitawatupa tabora
 
Mnatuchanganya.mara mwanamke lazima awe na nyama, mara awe slim. Mara awe katikati.wanaume mna tamaa sana.

Ila kitalaam iko hivi ukiona mwanaume anapenda slim ujue yeye ni mnene.

Na wanaume wembamba wanapenda mabonge naana kakiingia mapajani kanapotelea mle.

Kuna kapo unakutana nayo wote mabonge unajiuliza hawa wanalalaje?😂
 

I promise sito nenepa japo kitambi kinanijia kwa mbaliiiii[emoji35]
 
Likud kwa nini unaandika kwa kingereza/English?
 
Kwa sababu nimesoma Hadi chuo kikuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Basi pale kwenye YOU inaendana na WERE
huwezi kusema "you was" ni "you were" was inatumika kwenye umoja yani "she was" "he was" na "were" ni they were, "you were".......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…