EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

Tatizo anajiona special yaani amuache mtoto wa watu, usikute alimuahidi nitakuoa wewe ndo peke yako dunia nzima hakuna kama wewe, halafu anategemea kutendewa wema hapo
Si ndio hapo sasa, huyo ex nae kapoa mnooo yani ilitakiwa apokee simu ampige tik taka akamuache barabarani boda zimkosekose
 
Si ndio hapo sasa, huyo ex nae kapoa mnooo yani ilitakiwa apokee simu ampige tik taka akamuache barabarani boda zimkosekose
1718879640805.png
 
Nashangaa Kuna ma x wanaopatana hadi wanakuwa tena best friends!??Utaskia sisi hatuna shida we still friends.Watu dizaini hii nahisi Wana ugonjwa wa Akili.Mm nikimwona x katakata kuliko mm natamani nijifukie chini.
 
Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si kudharau call na text zangu.

mi simtaki, nataka tu anisaidie ili mchakato wangu ambao yeye kwa nafasi yake anaweza kuafanya ukawa rahisi.
wanawake acheni kiburi. kuachana sio vita, kwanza yeye ndo alijitongozesha kwangu.
Pole sana
 
Watanzania kila kitu kwa kujuana. Hatuwezi kuweka mifumo ya kutoa huduma bora bila kuangalia mambo ya kujuana?
 
Ex mwenyewe ukute wakati mnaachana madharau yalikua kama yote ila leo una shida ndio unataka apokee simu zako. Pambana kivyako usitegemee mserereko.
 
Ex mwenyewe ukute wakati mnaachana madharau yalikua kama yote ila leo una shida ndio unataka apokee simu zako. Pambana kivyako usitegemee mserereko.
Kwanza nishapata hiyo huduma, bado yeye 🚮
 
Back
Top Bottom