Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua
Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship
Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi
Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia
Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??
Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha
Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu