Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Inawezekana kabisa na wakaishi salama sio uadui.Wakisharudiana , wanafikia hatua ya kufunga ndoa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa na wakaishi salama sio uadui.Wakisharudiana , wanafikia hatua ya kufunga ndoa ?
Kabisa cute...ni kuwaacha kwa nguvuKwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
Ex harudiwi momJapokuwa sisapoti neno “ex harudiwi” sababu destiny ya mtu anaijua Mungu, LAKINI… nilisamehe makosa nikajiambia second chances zipo nikarudia ex …khaaaaa! Alikuja na vibe bovuuuuu kupitiliza yani! Akanitoka mazima mazima rasmi! YaNi Ptuuuu!!!! Sikuwahi jua jamaa ana roho mbaya kuliko shetani,
Sijapenda, Carina imeingiaje kwenye jambo lenu.?We vuta chombo kipya mtoto namba E achana na hizo carina namba A
hiyo finishing[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yule manzi bana ni pasua kichwa.
Tulifunga mkataba ghafla.
Siku si nyingi mshale ukasoma full ikabd tutaftane kupunguza kibuyu.
Tukiwa katikati ya mirindimo ya pwani nkasukuma nyama nkashangaa wigi linaruka linaangukia uoande mwingine wa kitanda nmebaki na twende kilioni zinanishangaa.
Nkawazaaa, hv hii maisha mpka lini?
Nkafunga muamala mpka leo.
Popote ulipo uende salama.
Kunguni maji wahed kbsa bladihenken!
Kwenye pirika pirika tu ilitokea na yeye mwenyewe alikiwa kwenye pirika pirika zake basi tukaonana, ilikiwa ni baada ya muda mrefu so ilikuwa ni best opportunity 4 each other.Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua
Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship
Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi
Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia
Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??
Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha
Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu
View attachment 2490414
Nashukuru mkuuinategemeana mmeachana mkiwa katika situation gani,
mfano mimi ma ex huwa ninawakumbuka na kuwamis kipindi nikiwa na nyege
nyege zikizidi huwa ninajirudisha kinyumenyumb3 kwa ma ex na wao hunipokea bwana wao bila hiyana tunaendelea na michezo yetu kwakuwa huwa siwaachagi kwa maumivu,,ila shariti mpime hawachelewagi kupata ngoma
Doh huyo ni mbaya sanaKilichofanya tuachane hakikubadilika hata baada ya kurudiana hivyo nikaona ya nn kujipa shida. Aliniacha kwa dharau, alikua kitombi kupita maelezo. Alirudi akaomba msamaha sababu nilikua nampenda bado nikakubali. Akaendeleza tabia zake nilikuja nikamtimua mazima.
Nashukuru mkuu🙏🙏🙏Kuna sababu 2 tu huwa naona ni sawa iwapo mtu ataamua kurudi kwenye mahusiano ya zamani:
1. Maamuzi ya mihemko. Unaachana kwa mhemko inayotokana hasira bila sababu za msingi.
2. Pride. Mliachana kuonyesha tu kuwa unaweza kuishi bila yeye.
Kinyume na hizo sababu 2, Mtu mliyeachana mheshimu ila usimrudie.
Thank u mama… hii ya moto🔥Chemistry ipo tu haifufuliwa.
Ukiona unatafuta jinsi ya kufufua chemistry basi jua haipo. Move on.
Asante kwa nondo mkuuWote niliowah kuachana nao sabab ilikuwa ni distance
Maisha baada ya kurudiana yanategemea nani alimwacha mwenzako na kwanini
Kwa mfano ulimwacha mwanamke kwasabab ni mlevi leo hii je huo ulevi kauacha au wewe umeona it's ok utampokea na ulevi wake?
Ulimuacha kisa alikucheat swali je unategemea hutachitiwa tena au utamvumilia hata akikucheat?
Ulimwacha kisa domo je kaacha domo au utampokea na domo lake?
So inategemea nan alimwacha nani na kwanini na nini kilisababisha, je mmoja yupo tayari kubadirika au mwingine kumkubali mwenzie kama alivyo
Kwenye kubadilika mtu zingatia zile tabia ambazo mtu hawez acha kirahisi
Mkuu hao wapya kumpata mnaovibe pamoja ni mtihaniWe vuta chombo kipya mtoto namba E achana na hizo carina namba A
Sawa mkuu🙏Changamoto Zipo Mwanzo Matamu Kama Asali, Katikati.......Mwisho Machungu Kama Shubiri
Oa Uzae Naye Utatulia Tu, Ama Atakutuliza
😂😂😂Yule manzi bana ni pasua kichwa.
Tulifunga mkataba ghafla.
Siku si nyingi mshale ukasoma full ikabd tutaftane kupunguza kibuyu.
Tukiwa katikati ya mirindimo ya pwani nkasukuma nyama nkashangaa wigi linaruka linaangukia uoande mwingine wa kitanda nmebaki na twende kilioni zinanishangaa.
Nkawazaaa, hv hii maisha mpka lini?
Nkafunga muamala mpka leo.
Popote ulipo uende salama.
Kunguni maji wahed kbsa bladihenken!