Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #61
Whoa, alikufanyaje huyo jamaa katili?Japokuwa sisapoti neno “ex harudiwi” sababu destiny ya mtu anaijua Mungu, LAKINI… nilisamehe makosa nikajiambia second chances zipo nikarudia ex …khaaaaa! Alikuja na vibe bovuuuuu kupitiliza yani! Akanitoka mazima mazima rasmi! YaNi Ptuuuu!!!! Sikuwahi jua jamaa ana roho mbaya kuliko shetani,
Please share nasi