Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Pole sanaEx wangu nimeachana nae mwaka jana,now mke wa mtu..nampenda sana,,number yake ninayo but tangu ameolewa sijawahi kumtafuta hajawahi kunitafuta...sijui hata nawaza nini...sijawahi kutembea na mke wa mtu and its against my morals,shetani ananiambia nipashe kiporo but navumilia..tangu nimeachana nae sijawahi kua na mwanamke zaidi ya kuruka na hoes...