Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.

Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua

Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship

Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi

Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia

Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??

Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha

Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu

View attachment 2490414
Ex akijileta mle kiboga na unamuacha tena ndani ya Mwezi imeisha hio usilete mapenzi hewa ex harudiwi kwa anarudiwa kwa kisasi tu basi.
Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.

Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire watu wengi sana hata bila ninyi kujua

Binafsi nimepitia mahusiano mengi ila kati ya yote sikuwahi kumrudia Ex in a serious way, yupo mmoja tu ambaye ni kama tupo kwenye Open relationship

Nimeona comments za watu humu ndani wakisema kuwa “Ex harudiwi” nimeona hili sio mara moja wala mara mbili ila ni mara nyingi

Currently hali yangu ya kimahusiano ina utata kwa maana kuna ex angu mmoja ninatamani sana kuwa nae milele na hii ni kutokana na kwamba nimepima nimeona yeye anafaa japo ana mapungufu yake kama mimi tu nimeona nitaweza vumilia

Sasa basi lengo la uzi huu ni kupata maoni yenu ama ushuhuda kwamba ilikuaje ulipomrudia ex wako??
Penzi lilifana au ulipoteza muda??

Ushuhuda huo pamoja na vigezo vingine nitavitumia kufanya maamuzi Muhimu sana ktk maisha

Karibuni sana waungwana uwanja ni wenu

View attachment 2490414
Never labda kwa kumfanyia kisasi cha kumjutisha milele
 
Unajiandaa kulamba tena matapishi ?
 
Ex maranyingi ni kwaajili ya kupasha kiporo,na hao ndo wanaacha watu walioko kwenye ndoa,wagongewe sana.
Pole sana kwa waoaji na wanaoolewa na watu wenye maex lukuki.
 
For me

Sijawai mrudia sio mchumba tu hata rafiki aliyezingua sababu

Hunichukua muda kufanya research.....na kupata majibu mpaka namuacha mtu so
"Once is a DEMON....is a DEMON TOTAL"
Nimeipenda hiii ✌️✌️✌️✌️!
 
Binafsi simshauli mtu kumrudia x huwa wanazingua sana hurudi Kama malaika miezi mitano mbele huendelea na mambo yaleyale yaliofanya muachane... Toa mti weka mti full stop sitaki mazoea
 
Japokuwa sisapoti neno “ex harudiwi” sababu destiny ya mtu anaijua Mungu, LAKINI… nilisamehe makosa nikajiambia second chances zipo nikarudia ex …khaaaaa! Alikuja na vibe bovuuuuu kupitiliza yani! Akanitoka mazima mazima rasmi! YaNi Ptuuuu!!!! Sikuwahi jua jamaa ana roho mbaya kuliko shetani,
Pole
 
Mimi niliachana na dem kisa tu aliona malengo yangu kimaisha yanachelewa kufanikiwa....so akasepa...almost miaka 7...!!awam hii yeye..wadogo zake na mpk shngazi yake wanabembeleza turudiane...!!Nahic wanataka roho yangu...anyway Ex harudiw
Duh
 
Back
Top Bottom