Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex wangu nimeachana nae mwaka jana,now mke wa mtu..nampenda sana,,number yake ninayo but tangu ameolewa sijawahi kumtafuta hajawahi kunitafuta...sijui hata nawaza nini...sijawahi kutembea na mke wa mtu and its against my morals,shetani ananiambia nipashe kiporo but navumilia..tangu nimeachana nae sijawahi kua na mwanamke zaidi ya kuruka na hoes...
Umeachana nae mwaka jana na saizi ni mke wa mtu,watu wapo speed na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
Pole sana mkuu
 
Ni Kweli Kabisa📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Yalikua ni moja kati ya maamuzi mabaya sana niliyowahi kuyafanya ktk maisha,sijui nini kilifanya nimtafute tena ambapo hapo kwa muda mfupi tu niliokaa naye tena umefanya nibaki na maumivu mpaka leo,nilishindwa kusamehe kabisa
 
For me

Sijawai mrudia sio mchumba tu hata rafiki aliyezingua sababu

Hunichukua muda kufanya research.....na kupata majibu mpaka namuacha mtu so
"Once is a DEMON....is a DEMON TOTAL"
 
Back
Top Bottom