Yupo humu???Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri ?
Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia
Ungekuwa unaejitambua usingekuwa unanyanyua simu sijawahi kukutafuta mbona unanitafuta?
Tia block na usirespond akikutafuta tofauti na hapo ni wewe mwenyewe unayaruhusu hayo kutokea.Utamkatalia mtu anahangaika kujua what's going on your life
Sasa kama hutaki kuwa na chuki kwanini ulete post kumuhusu yeye kukupa ushauri? Kama hakuna chuki kati yenu hakuna bata yeye kukushauri.Ni chuki iyo sasa
Mbona unakasilika?Sasa kama hutaki kuwa na chuki kwanini ulete post kumuhusu yeye kukupa ushauri? Kama hakuna chuki kati yenu hakuna bata yeye kukushauri.
Mwenzako anajitambua na ndiyo maana anakuoa shauri mbali mbali kwasababu hana chuki na wewe
Chuki ipi? Sio lazima uongee na kila mtu, kama mnapendana mliachana yanini?Ni chuki iyo sasa