Ahsante kwa kushukuru...anajibaraguza.Ahsante!
Hana lolote alikua wapi kuongea!
Nijiongeze vp mkuu........sijakupata[/QUOTE]im5, post: 24283314, member: 196493"]Jiongeze Mkuu Hapo kwa MSAMI BABY!
Anatuhumiwa kuliwa mtandao wa j.t.[/QUOTE]Betterhaltu. post: 24285095 said:Nijiongeze vp mkuu........sijakupata
Utakuwa unalisema lile la USA BABY puuzi kweliKuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
Mwingine anajiita USA BabyKuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
At the highest levelushasema wapenz wetu
sasa mwanaume unakubali kuitwa na mwanaume mwenzako baby huo ni ugayish
Walishindwana nini sasa?Amewapongeza na kuwasifu kwa kuwafanya watu wajue kuwa "ukubwa wa si tatizo bali ni namba tu...na ukubwa wa kamasi si wingi wa kamasi".
Pia amemnanga Irene kuwa ndiye alomtongoza huyo X wake kipindi hicho na sasa wameachana.
Yaaan jaman sijui wanaonaje wakituandikiaTuandikie hatuna bando la utube
Kuna wengine wanajiita Wasafi Classic Baby, yaan siwaelewagi kabisaKuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
Billy Walters II njoo u subscribe mi sina bando
Hii ndo ujinga zaidi kuna maaana gani kupost ujinga Kama huu, kaa kivyako tafuta anaekufaa acha maisha ya watuJanaume nzima linajiita msami baby..
Unadhani ni wewe tu ha ha ha watu kibao wanamwonea wivu dogo, wanazuga tu kuponda uwoya ni mwanamke mzuri.Halafu jamaa kaacha kutuambia tusubscribe, mimi mwenyew bando sina hapa na Mangi alishafunga.
Ila Dogo Janja namwonea wivu aisee.
Unadhani ni wewe tu ha ha ha watu kibao wanamwonea wivu dogo, wanazuga tu kuponda uwoya ni mwanamke mzuri.
Ila hapo kwenye difference ya umri mweh yote sawa lakini
ha ha ha we jipange tu andaa fungu ndoa za mastar zinajulikana, kutulia ndani kupika, kufua, usafi, kuzaa, kulea yataka moyo...yani habari za kuparty ziishe, kudanga byebye teh vilimshinda kwa ndikumana.Hiyo difference ya umri ni mambo ya baadae wakizinguana, currently dogo anainjoi zake mambo kwa raha zake.
Ningeambiwa nimwoe Irene hata Kwan wiki moja to nisingeiacha hiyo chansi.