EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

im5, post: 24283314, member: 196493"]Jiongeze Mkuu Hapo kwa MSAMI BABY![/QUOTE]
Nijiongeze vp mkuu........sijakupata
 
UOTE="carnte, post: 24284098, member: 447805"]Kuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa[/QUOTE]
Ni uzwazwa.......mwanaume mwenzie akitamka jina lote anajisikiaje
 
Betterhaltu. post: 24285095 said:
Nijiongeze vp mkuu........sijakupata
Anatuhumiwa kuliwa mtandao wa j.t.[/QUOTE]
Hahahaaaa aaaah apo nimekusoma......na avyojua kuyakata
Astakafilulah
 
Hahaaa iyo mada hasa sijapata jawabu apa ni msababy tu na miuno yake
 
Amewapongeza na kuwasifu kwa kuwafanya watu wajue kuwa "ukubwa wa si tatizo bali ni namba tu...na ukubwa wa kamasi si wingi wa kamasi".
Pia amemnanga Irene kuwa ndiye alomtongoza huyo X wake kipindi hicho na sasa wameachana.
Walishindwana nini sasa?
 
Unadhani ni wewe tu ha ha ha watu kibao wanamwonea wivu dogo, wanazuga tu kuponda uwoya ni mwanamke mzuri.
Ila hapo kwenye difference ya umri mweh yote sawa lakini

Hiyo difference ya umri ni mambo ya baadae wakizinguana, currently dogo anainjoi zake mambo kwa raha zake.

Ningeambiwa nimwoe Irene hata Kwan wiki moja to nisingeiacha hiyo chansi.
 
Hiyo difference ya umri ni mambo ya baadae wakizinguana, currently dogo anainjoi zake mambo kwa raha zake.

Ningeambiwa nimwoe Irene hata Kwan wiki moja to nisingeiacha hiyo chansi.
ha ha ha we jipange tu andaa fungu ndoa za mastar zinajulikana, kutulia ndani kupika, kufua, usafi, kuzaa, kulea yataka moyo...yani habari za kuparty ziishe, kudanga byebye teh vilimshinda kwa ndikumana.
 
Back
Top Bottom