Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Habari wapendwa?

Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
 
Ukikuwekea FBI wa kike hakikisha anajutia uamuzi wake kwa kupindua meza kibabe..akikuwekea wa kiume tafuta mademu zao halafu malizana nao tu kisha waambie wakaripoti kwa boss wao kwamba umechakata madem zao..

Hii ni kama mahusiano yako beyond repair..kwamba huna interest tena za kuendelea nayo.
 
Ngoja FBI wenyewe sasa waje[emoji1787][emoji116]
IMG_20210826_094537.jpg
IMG_20210826_094545.jpg
 
Habari wapendwa?

Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?

Anakuwekea mashushushu au anakuwekea wambea wa kibongo?
 
Habari wapendwa?

Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
Kwenye hilo neno waondoe FBI. Hawafanyi kazi za kijinga za kufuatilia wachumba za ma ex.
Sema mashushu wa kibongo.. wambea.. wanoko
 
Kiporo Cha penzi huwa hakichachi, pasheni kisha kuleni
 
Back
Top Bottom