PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaMaex wangu wote karibia 50 hakuna niliyegombana nae serious mpaka kufikia kutoongea.
Maex wangu wote nawaambia mimi ni mzima na nawasalimu sana , ujumbe waheshimu mahusiano yao ya sasa tukikutana wasiniweke kwenye mitego ya kula tunda tena maana huwa nategeka haswa.