Ex wangu analalamika ha-enjoy sex na mume wake

muda mwingie ss wachungaji tunaangukaga kiroho sasa binti kama huyo '! vijana hawa.sasa fanya ivi we endelea tu
 
Vitu vingine muwe mnashirikiana na akili zenu kupata majibu. Otherwise labda umuulize mkeo kwa jibu bora zaidi
 
Anataka kama ilivyo kwa wake wengi, awe na waume wengi. Sasa huko alifuata nini? Hapa ndipo ule msemo wa kunguru hafugiki unaleta mantiki. Yaani anataka mumewe amshughulikie kwa hayo maeneo uliyotaja?
 
My Ex dumped me alivyopata mchumba na wamesha ishi three years. Cha ajabu ananiambia hana hamu kabisa na sex now days compared na kipindi tulivyokuwa nae it was sex everywhere in the bed room, kitchen, sitting room, in the office, in the car.

Je atakuwa anataka tuliendeleze au la? hare your experience
Kuna video nmeona Leo,jamaa wanampaka BABYCARE ... huku wamemshikia panga njemba za heavyweight mbili...pembeni mdada amekaaa analia anamuacha jamaaa kupenyezwa bila shurti...Sisi Wanaume tunapunguziana uanaume wenyewe...maana utafanya wangap? Na vip njemba ukakuzd maarfa ukakugeuzia kibao? Kama yule jamaaa aliyemfumania mkewe na KUKIMBIZWA YEYE NA PANGA...haaah.

#ACHA MKUUU#
 
Na akijaga kwa brother yangu anasema tena hainjoi sex kwako
 
My Ex dumped me alivyopata mchumba na wamesha ishi three years. Cha ajabu ananiambia hana hamu kabisa na sex now days compared na kipindi tulivyokuwa nae it was sex everywhere in the bed room, kitchen, sitting room, in the office, in the car.

Je atakuwa anataka tuliendeleze au la? hare your experience
Achana na malaya huyo.
 
Sasa anakwambia wewe ili iwaje, ukamshike kiuno huyo mume wake umkatikishe wakiwa wanafanya....?!
 
My Ex dumped me alivyopata mchumba na wamesha ishi three years. Cha ajabu ananiambia hana hamu kabisa na sex now days compared na kipindi tulivyokuwa nae it was sex everywhere in the bed room, kitchen, sitting room, in the office, in the car.

Je atakuwa anataka tuliendeleze au la? hare your experience
Anza kutembea na mafuta ya VASELINE. Thank me later.
 
My Ex dumped me alivyopata mchumba na wamesha ishi three years. Cha ajabu ananiambia hana hamu kabisa na sex now days compared na kipindi tulivyokuwa nae it was sex everywhere in the bed room, kitchen, sitting room, in the office, in the car.

Je atakuwa anataka tuliendeleze au la? hare your experience
Hapa ndipo unaonekana ule umuhimu wa kuoa BIKRA.
 
My Ex dumped me alivyopata mchumba na wamesha ishi three years. Cha ajabu ananiambia hana hamu kabisa na sex now days compared na kipindi tulivyokuwa nae it was sex everywhere in the bed room, kitchen, sitting room, in the office, in the car.

Je atakuwa anataka tuliendeleze au la? hare your experience
Maneno hayohayo ndiyo aliyomuambia Mume wake hadi akamuowa kuwa wwe humkozi vizuri! Wwe jaribu kumtafuta Mumewe akuambie ili na wwe usikie ulivyosemwa kwake!! Wanaume sanukeni muda mwingine tunachezeshwa na Wanawake Kama Watoto na sisi eti tunacheza kindezi!!
 
Dah....imeandikwa... 🤭
'' Mwanaume yoyote baada ya kukaa na mwanamke kwa siku 90 humuona wa kawaida sana" - Wamalawi 6: 12
 
kwanza inaelekea uliachwa ulikuwa huna michongo..''hapo kwenye sex in the office in the car sijui ni UONGO..you type smell look like ulikuwa huna vyote hivyo zaid ya makende yako...
nakusihi tafuta hela acha ndoa za watu na shobo za wake za watu
TF una namba yake kwanza?
 
Back
Top Bottom