Ex wangu ananionea wivu...

Ex wangu ananionea wivu...

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Jamani, Ex wangu ananionea wivu anionapo na wengine...! Je, hii ni kawaida? Nifanyeje; nimtungue, au?
 
Mtungue tu kwani your current... anatunguliwa na ex-wake.
 
duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"
 
Mlengeshe kwangu atakusahau na wala hata ona wivu tena :eyebrows::eyebrows:
 
Jamani, Ex wangu ananionea wivu anionapo na wengine...! Je, hii ni kawaida? Nifanyeje; nimtungue, au?

Na wewe Konakali acha hizo bana, akuonapo na WENGINE, kwanini isiwe MWINGINE!
 
We ndo ulimwaga ndo maana. Angekuwa yeye ndo alikumwaga asingeona wivu. Usithubutu kumrudia anatafuta njia ya kukumwaga ili ajione mshindi. Mwachwaji huona uchungu sana!
 
yaelekea na wewe bado unafeel pamoja na kuwa na wengine, basi mtunguane
 
duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"

ex wake mwingine alikuwa bado anamtungua/anamla ndiyo sababu ya kuachana.
 
Back
Top Bottom