Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka