Ex-wangu kaolewa na rafiki yangu wa damu kabisa hii ni dharau

Ex-wangu kaolewa na rafiki yangu wa damu kabisa hii ni dharau

Nafikiri mtu akipitia nyuzi zako atagundua kuwa unasumbuliwa na ushamba,ulimbukeni,upumbavu,ujinga,utaahira,uchizi,uwendawazimu,kichaa n.k kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii.

Nb:Afya ya akili inakuhusu.
Sawa mvuta bangi


Screenshot_20220809-143038_1.jpg
 
Ushauri wa nguvu za giza
Sjajua kinachomuuma ni nini hasa kwamba alitaka huyo binti asiolewe abaki tu akimuangalia binti wa watu anateseka au rafiki yake kuoa ex wake .

Huyu jamaa ana shida sehemu si bure kama vipi akamsaidiane na Ex wake .
 
Huo n mtazamo hasi. Ex wako kuolewa na rafiki yako hakuna tatizo waswahili wanasema "kizuri kula na ndugu yako".
 
Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.

Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.

Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka

Rafiki wa damu ndo kitu gani?
 
Huyo bado ni wako. Baada ya miaka kadhaa hasira za migogoro zitaisha na atakukumbuka, mtawasiliana kama rafiki ambapo itapelekea kupewa mbususu.

ILISHANITOKEA.
 
Back
Top Bottom