Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kaka turudishe katika Safari ya Lindi maana muendelezo wake unatutesa sana.Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa
Usijali maombi yako nimeyachukua kwa uzito nitafanya hivoKaka turudishe katika Safari ya Lindi maana muendelezo wake unatutesa sana.
Nenda na wewe ukamchukue ex wa rafiki yako umuoe ili kupoza machungu bwashee 😂😂Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Ndoa ya mkeka huwa inapangwa? Nilidhani inakuwaga ghafla ya kulazimishwaZilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Mara nyingi hufungwa baada ya wahusika kufumaniwa wakigegedana huku wakiwa sio wana ndoa.Ndoa ya mkeka huwa inapangwa? Nilidhani inakuwaga ghafla ya kulazimishwa
OK okMara nyingi hufungwa baada ya wahusika kufumaniwa wakigegedana huku wakiwa sio wana ndoa.
Kama ex wako kina gani kinakuuma? Huyo rafiki ana makosa gani kuoa uliyemwacha wewe? Kama uliona hafai na yeye anaona anafaa, basi na urafiki na mtu wako uendelee, wala usimchukie.Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Mwanmake amekuona wee hamnazo kichwani Ni mwanmke yupi atakubali kuolewa na mpwayungu mtu mwenyew weng Kia's hikiZilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Nafikiri mtu akipitia nyuzi zako atagundua kuwa unasumbuliwa na ushamba,ulimbukeni,upumbavu,ujinga,utaahira,uchizi,uwendawazimu,kichaa n.k kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii.Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Mfuate jamaa mwambie akuoe weweZilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako hatoki mbali ni huyo hapo wa karibu maana haiwezekani mimi nimeachana na mpenzi wangu kwa mgogoro mkubwa, tena ni huyu huyu rafiki angu akawa anasema pole Mpwayungu village ila Leo anachukua yeye.
Haina shida Mungu yupo acha maisha yaendelee ila ipo siku watanikumbuka
Kuchapiwa ni siri ya ndani, umeimwaga nje..!!Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.