Ex-wangu kaolewa na rafiki yangu wa damu kabisa hii ni dharau

Ushauri wa nguvu za giza
Sjajua kinachomuuma ni nini hasa kwamba alitaka huyo binti asiolewe abaki tu akimuangalia binti wa watu anateseka au rafiki yake kuoa ex wake .

Huyu jamaa ana shida sehemu si bure kama vipi akamsaidiane na Ex wake .
 
Huo n mtazamo hasi. Ex wako kuolewa na rafiki yako hakuna tatizo waswahili wanasema "kizuri kula na ndugu yako".
 
Rafiki wa damu ndo kitu gani?
 
Huyo bado ni wako. Baada ya miaka kadhaa hasira za migogoro zitaisha na atakukumbuka, mtawasiliana kama rafiki ambapo itapelekea kupewa mbususu.

ILISHANITOKEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…