Ex wangu nampenda ila kampa mimba mwanamke mwingine

Ex wangu nampenda ila kampa mimba mwanamke mwingine

Nisaidie wewe Mzee humu wanao comments wengi ni vijana wa hovyo wanaoshambulia singomaza Halafu hapa wananishauri nimzalie


Focus on your life, mapenzi yapo tu, kama unasoma, soma kwa bidii, kama huna kazi anza kutafuta, Jitahidi, do something productive
 
Sawa mimi namtaka kwa shart la yeye kumuacha huyo mwingine… nipe mbinu za kupindua hiyo meza
Kwanini unalazimisha kuwa na mahusiano na mtu ambaye tayari sio wako tena na ameshatengeneza bond na mtu mwingine?

Kwani wanaume wameisha kiasi hicho?

Kwanin usikubali kuachika unabaki kung'ang'ana tu na mwanaume ambaye kwa sasa hakutaki?

Hebu tuliza mihemko, achana na mahusiano ya watu kaanzishe ya kwako.
 
Three sweeter one husband, itakua two... Mi naona kubali tu akupangishie uwe mke mdogo.. Remember nyumba ndogo ndio hupendwa zaidi
 
Kwanini unalazimisha kuwa na mahusiano na mtu ambaye tayari sio wako tena na ameshatengeneza bond na mtu mwingine?

Kwani wanaume wameisha kiasi hicho?

Kwanin usikubali kuachika unabaki kung'ang'ana tu na mwanaume ambaye kwa sasa hakutaki?

Hebu tuliza mihemko, achana na mahusiano ya watu kaanzishe ya kwako.

Hakuna sehemu nimesema kaniambia hanitaki… Ni kwamba yeye ananitaka sana tuanza upya ila suala la huyo mjamzito ndio linauma Sana

Ya kwangu nayatoa wapi wanaume wenyewe nyie bora huyo tunaejuana kindaki ndaki
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji ukamroge uyo mwanamke. Waachane alafu wewe shika mimba umzalie uyo x wako.
 
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi


Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa anashauku sana ya kuwa na mtoto yaani hii ndio sababu ilifanya nikamuacha

Mimi na ex wangu Kama hajanidanganya Miaka yake basi tupo Sawa 25 kanizidi miezi michache tu yaani wote tuna Miaka 25

Kipindi tunakutana tulikuwa na Miaka 23 alitaka nimzalie ila sikufanya hivyo.. ugomvi ulipotokea tukaachana Kama mwaka hivi ila ndani ya huo mwaka tunatafutana tunarudiana tunaachana tenaa

Sasa mahusiano yalirudi rasmi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu tena yeye akilazimisha zaidii turudiane nikaona Hakuna tatizo maana mimi pia nilikuwa single

Kilichonileta hapa ex wangu nimegundua kuwa anaishi na mwanamke mwinginee tena huyo mwanamke ana ujauzito wake.. niligundua kupitia ndugu yake maana huwa nawasiliana nae nikaomba anichunguzie maana kuna vitu niliona sivielewi.. maana yeye kapanga mkoa X na anafanyia kazi mkoa mwinginee.. nilimuulizaga kwake anakaa nani akawa hana majibu ya kueleweka ikabidi nimuulize ndugu yake ndio kuniambia kuwa kuna mdada anamuonaona pale inasemekana wanaishi wote ila hakuniambia suala la kuwa mjamzito hilo niliambiwa na muhusika mwenyewe

Sasa ex wangu katika kuongeaongea akaanza kunilaumu kwanini nilimuacha mwaka mzima.. ikabidi nimuulize kama kuna mtu yupo nae.. akaniambia kweli anae mtu na hawezi kumuacha kwasababu ana mtoto wake tumboni..

Imebidi nishangae ndani ya mwaka mtu katafuta mwanamke na kampachika ujauzito alikuwa na haraka gani ya kufanya hivyo.. kumbuka ndani ya huo mwaka sio kwamba tuliachana moja kwa moja tulikuwa tunawasiliana sana na tunarudiana tunagombana tena tunapumzishana

Namuuliza kwanini umefanya hivyo anasema kwamba mimi nilimnyima mtoto na yeye hajui atakufa lini Akifa ghafla nani atarithi mali zake… kusema ukweli hili jambo limeniumiza sana sanaa sijaumia yeye kuwa na mtu kilichoniuma ni yeye kumpa na mimba juu huyo mdada… kusema ule ukweli mimi tangu niachane nae niliamua kutulia tu sikuhitaji mwanaume… maana nilijipa muda wa kutuliza akili ila sikutegemea mwenzangu amemoveon kiasi hiki

Nimemuuliza kuhusu mimi na yeye uhusiano wetu unakuaje anasema mimi ananipenda na hataki kuniacha ila yule mwanamke ana mtoto wake hivyo hawezi kumuacha pia.. kiufupi ni kuwa anatutaka wote

Mimi huyu mwanaume nina mpenda ila sasa nitakuaje nae na tayari kuna mwanamke ana mimba yake na mbaya zaidi kamuweka kwake Halafu anataka na mimi anipangie sehemu nyingine

Daah hata Kama ni malipo ila haya ni too much.. kwani mimi nilifanya makosa gani Miaka 23 kweli anataka tuzae hata ingekuwa ni wewe ungenishauri nimuache

Naombeni ushauri wowote tu nifanye nini juu ya hili jambo
Navoandika hapa ananitumia sms kila saa na nimeshamwambia sitaki anitafute ila bado hakomi huyu anataka nini kwangu jmn [emoji24][emoji24]
Anataka mtoto 🤣🤣🤣
 
Sawa sasa wote tulikuwa na Miaka 23 mimi sina kazi japo yeye alikuwa nayo… kweli ningemzaliaje hapo..

Na mpango wa kuoa bado hata sasa bado hawezi kunioa kwasababu ya mambo fulani fulani kazini kwake

Nimeogopa kuwa single maza

23 Years alikua na KAZI hao ni vijana wa majeshi ya ulinzi

Mdogo ANGU niliemuachia alipata KAZI kwenye moja ya majeshi ya ulinzi, na yupo mkoa x ana miaka miwili sasa tangu aingie kazini lakini kiukweli hizi KAZI za majeshi Sijui zina laana au ni Nini UKWELI Dogo amekua Malaya ADI naogopa........🙆🏻‍♂️😢

Huwa najiuliza naanzia wapi kumstop aache Iyo TABIA lakini nashindwa nabaki kusema moyoni mwangu atafika WAKATI ataachana lakini hali inazidi kua mbaya 🙆🏻‍♂️

Kumwambia Mama amuonye MTOTO wake nayo ni Ngumu

Anyway kama ni kweli kua makini na hao vijana hawana future ila kama upo imara shikilia bomba Hadi mwisho ila sio huyo t alienae wapo wengi
 
Njoo hapa kibaigwa tulizungumze hilo suala lako vizuri
 
Back
Top Bottom