Ex wangu nampenda ila kampa mimba mwanamke mwingine

Mliachana kwa sababu ulikataa kumzalia swali linakuja hivi, kwa sasa upo tayari kumzalia? Kama jibu ni hapana ujue mchezo utakua ni ule ule.
 
Nipo kwenye novena liwalo na liwe… nipo namuombea hapa hiyo mimba awe amesingiziwa mtoto sio wake yaani kiufupi mwanamke ampige tukio kubwa zaidii [emoji2]
Dua la kuku halimpati mwewe
Kubali kuachika maisha yaendelee...mbona Kuna vijana kibao huko kitaa
 
Sijasoma mada ila Wacha nichangie , Yani Hawa madalali wajanja sana wanatuona kama hatuna akili vile
Kwani,kusema ule ukweli. Zimo? Zingekuwemo,mtu unamtambua kama x,af tena unatanua kutoa kitumbua. Ukijiona wa maana,na kulinga,kuna mwingine anataka. Na anapewa.
Sasa mwenzenu hapa hajui afanyeje,anajua ni mpango wa kando,yaani sitaki nataka.
 
Wanaume wa jf fanyeni namna, swala kuchezacheza mbele ya simba ni dharau jamani.....
Jamani,wafanyeje? Si kasema alitulia,hakuwa na mwanaume? Nyege zilimzidia akajiunga kifurushi na kuomba tena nusu kuku. Haya sasa,mla vya watu,na vyake vikaliwa. Af,hua nashindwaga kuelewa: mijidada inajiweka juu,ukiwa nayo. Ikishajua una mtu sasa,hata iliyokua ikizingua,ipo tayari kulipia lodge na gharama zote,lakini ichakachuliwe.
 
Madam, shtuka.
Angekupenda angefanya lolote msiachane.
Angempenda asinverudiana nawe.

Anaempenda atakuwa anapanga kumuoa. Ninyi nyote mnachezewa.
 
Hivi we mdada,unadhani alipewa ya kukologea zege au? Mbea mwenzio kaleta taarifa,huenda nae alizawadiwa kwa kufikisha ujumbe,ukajua,ukauliza,ukalidhia. Sasa shida nini? Umeolewa,hujaolewa,akiamuwa atachapa tu. Masharti kibao,unamtaka,una mipaka. Afanyeje? Mwanamke mjinga,sehemu zake za siri ndo huumia. Pole.
 
Basi. Kama hamkuwatupa chooni kwene condom,basi uliwamaliza hawamo tena
 
Pole sana,

Nadhani wote bado wadogo sana. Huyo Ex-wako ana mali kiasi gani cha kusema “akifa ghafla,nani atarithi mali zake”?

Nyinyi wote bado wadogo sana, pia ulikuwa sahihi kutokubali maana ungekuwa single mother mtaani. Inaonekana haujui thamani yako na amesha kuchezea hapo hakuna ndoa. Nakushauri funga mahesabu, tafuta kwingine.
 
Nimesoma heading tu ila kweni akimpa mimba mwanamke mwingine kwako haipenyi??
 
Wewe na aliyepewa mimba Hakuna muolewaji hapo!!
 
Sasa mwenyekosa nani hapo? yaani unauliza ana uharaka gani wakati umesema alikuwa na shauku ya kupata mtoto? hiyo shauku ndio imeleta uharaka, Kwani Moyo wako unasemaje kabla hatujakushauri
 
Niku
Nikuambie kitu kimoja kadogo,Usipaze shingo lako kama kweli Mwanaume uyo unampenda na Yeye anakupenda kweli pambana ummliki kivyovyote, kumbuka Kwa sasa ratio Kati ya Wanaume na wanawake...ikoje.
Cha msingi kabisa ridhia na jitambue Kisha mambo mengine yataenda mbele.
 
Pole sana
 
Sasa mwenyekosa nani hapo? yaani unauliza ana uharaka gani wakati umesema alikuwa na shauku ya kupata mtoto? hiyo shauku ndio imeleta uharaka, Kwani Moyo wako unasemaje kabla hatujakushauri
 
 
Pole sana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…