Examinations formats hapa

Examinations formats hapa

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Nahitaji, ziwe za physics, pure mathematics na chemistry a'level

Pia kwa ajili ya faida ya wengine waweza kuweka hata za masomo mengine ya a'level na o'level pia.

Muwe na Siku njema!
 
Hawa brn nao shid,umehitim masom ya o level afu hujui format za mtihan,chaguen ccm ili iwatafunie zaid
 
Bradha mbona unatoka povu hivyo? Sijaulizia za olevo bro, kama hukuelewa ungeuliza!
 
siku hizi naona hawafuati format sana hasa kwa masomo ya Chemistry na Biology, somehow hata Physics unaweza kukuta maswali paper one kwenye paper two... kwa mfano fluid dynamics na rotation ni za pepa two ila kuzikuta paper one si ajabu..
au bios Reproduction ipo kote I na II,
nawashauri tu mnaosoma, unapojiandaa na paper one usiache kupitia na topics za paper two.
 
Ahsante bro, hata mimi nasikia huwa sometimes hawazifuati. Ila nahitaji kwaajili ya wellbeing
 
ngoja tusubiri wadau wengine waje maana mi sizikumbuki fresh siunajua tena mtu ukiishaachana na mambo ya shule ni rahisi kuanza kusahau baadhi ya vitu
 
Yani wadau wenyewe wanapita kama hawaoni,
 
As per ma experience academic master of your school is the best starting point if you don't know it.....
 
Tafuta examination rubric ya necta....its a whole book with all paper formats
Samahani, hiyo examination rubric ya necta inapatikana bookshops?
As per ma experience academic master of your school is the best starting point if you don't know it.....
Yani mpaka nakuja hapa huko kote nimekosa, siunazijua shule zetu.!
 
Back
Top Bottom