am talking as an individual...i dont carein Kenya tribal matters a lot ....labda useme sio mkenya ....hamjafikia kusema muna umoja bado sana tena sio leo may be 23th century
you Kenyan stop wasting my time ...am talking as an individual...i dont care
But always make us to know the Kenya and the people who govern as well as your country.
View attachment 417246
Wizara ya Elimu nchini Kenya umefuta/imesitisha mtihani wa utamilifu(Mock Exam) katika Kaunti Siaya baada ya Gavana wa Kaunti hiyo kushinikiza picha yake itokee katika karatsi za mitihani.
Picha hiyo ya Gavana Cornel Rasanga akiwa anatabasamu imewekwa kona ya juu mkono wa kulia katika karatasi za mitihani ya Mock kwa darasa la 8.
===============================
Mock primary school exams in part of western Kenya were cancelled Wednesday after a local politician had his face printed on the publicly-funded examination papers.
Cornel Rasanga's smiling, avuncular likeness was printed in the top right corner of mock exam papers distributed at regional primary schools this week.
On Wednesday local media reported Kenya's education minister had cancelled the mock exams and said officials involved would be punished.
The 59-year-old opposition governor of Siaya County on the shores of Lake Victoria was criticised for reportedly spending $17,000 (15,000 euros) of county funds in an apparent attempt to win the early support of future voters.
However, local education chief Pamela Akello defended her boss saying it is important that school children know who their governor is and that since the county sponsored the mock exams it was fitting that Rasanga's face should appear on the papers.
"The move to place the governor's portrait on the examination papers is just," Akello told the media, adding children should "know their governor and have a closer relation with him."
Rasanga has so far stayed quiet on the controversy.
Source: New Vision
Wazee wetu hawakujua kusoma Na kuandika Lakini hatukufa njaa Mkuu.... Hao Kenyan's ambao literacy ipo juu Mbona wanakufa na njaa,tena worse than us.usisahau vazi la unafiki. hapo tutafika level yenu punde tu. Heri nijue kusoma, kuandika na kuhesabu kuliko kujidaganya stara zangu na ungwana zitaniokoa kutoka njaa.
Unabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EAWazee wetu hawakujua kusoma Na kuandika Lakini hatukufa njaa Mkuu.... Hao Kenyan's ambao literacy ipo juu Mbona wanakufa na njaa,tena worse than us.
Nope Mkuu.... Tanzania hakuna mtu ambae amekufa kifo Cha kukosa Chakula.. But in Kenya Kuna watu wanakufa kwa njaa I have seen it just miaka miwili tu nyuma.. Ubinafsi umewazidiUnabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EA
Tena Ungejua tunavuna mpaka serikali inakosa uwezo wa kukusanya mazao... Na tunalisha majirani zetu kama Nyie Kenyans, Rwanda Na Somalia bila kusahau Kongo,Tena Muwe na shukrani aseeUnabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EA
Sorry mimi nimepata habari kuwa kuna watu wala viwavi jeshi singida. Hii urojo ya Kenya watu kufa njaa ni promo za western aid agencies. Humu jf kuna nyuzi tosha kuonyesha raia wa wapi wanashinda njaaNope Mkuu.... Tanzania hakuna mtu ambae amekufa kifo Cha kukosa Chakula.. But in Kenya Kuna watu wanakufa kwa njaa I have seen it just miaka miwili tu nyuma.. Ubinafsi umewazidi
Correction. Mnauza mazao excess kwa majirani. Hamna cha kushangaza hapo. Linaitwa biasharaTena Ungejua tunavuna mpaka serikali inakosa uwezo wa kukusanya mazao... Na tunalisha majirani zetu kama Nyie Kenyans, Rwanda Na Somalia bila kusahau Kongo,Tena Muwe na shukrani asee
Ndo ujue Njaa ya msosi... Tz hakuna...Correction. Mnauza mazao excess kwa majirani. Hamna cha kushangaza hapo. Linaitwa biashara
Vile vile huku mtu yangu. Sitajisumbua na ushindi yenye haipo, pitia jf ujionee uhalisia wa mamboNdo ujue Njaa ya msosi... Tz hakuna...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] upload system got messed up! It's true though, wakenya ni wajinga wajinga..
sasa je ....ujinga haufichiki ni kama puaNimekubali mkuu, sie wajinga wakutupa. Leo Friday, hamna hamaki hapa, baada ya swalla, nachukua mirungi niingie Uhuru Gardens nianze veve mimi, hii JF inanipandisha paresha buree.
hapa ndipo ugomvi unaanzia Kiswahili gani hichi ...tafadhali tumia lugha yako hii hapana kwa kweliVile vile huku mtu yangu. Sitajisumbua na ushindi yenye haipo, pitia jf ujionee uhalisia wa mambo
Mukikuyu hutamjua tuu majibu yake.... Lolam neither a kikuyu nor a luo
Sio Afrika... God has to save Kenya first because they are in critical conditionDuh, kama hao ndio viongozi wao, unadhani watu wao wapoje?
Mungu saidia Africa.