Exams cancelled after politician put face on papers

Exams cancelled after politician put face on papers

What the governor did was pathetic but the ministry by cancelling the papers are behaving like village idiots
 
But always make us to know the Kenya and the people who govern as well as your country.

hahahaha unasema wenzako wajinga kisha unaandika lugha ambayo hauna ufahamu nayo, hapo nani mbumbumbu? classic case of the pot calling the kettle black.
 
View attachment 417246

Wizara ya Elimu nchini Kenya umefuta/imesitisha mtihani wa utamilifu(Mock Exam) katika Kaunti Siaya baada ya Gavana wa Kaunti hiyo kushinikiza picha yake itokee katika karatsi za mitihani.

Picha hiyo ya Gavana Cornel Rasanga akiwa anatabasamu imewekwa kona ya juu mkono wa kulia katika karatasi za mitihani ya Mock kwa darasa la 8.

===============================

Mock primary school exams in part of western Kenya were cancelled Wednesday after a local politician had his face printed on the publicly-funded examination papers.

Cornel Rasanga's smiling, avuncular likeness was printed in the top right corner of mock exam papers distributed at regional primary schools this week.

On Wednesday local media reported Kenya's education minister had cancelled the mock exams and said officials involved would be punished.

The 59-year-old opposition governor of Siaya County on the shores of Lake Victoria was criticised for reportedly spending $17,000 (15,000 euros) of county funds in an apparent attempt to win the early support of future voters.

However, local education chief Pamela Akello defended her boss saying it is important that school children know who their governor is and that since the county sponsored the mock exams it was fitting that Rasanga's face should appear on the papers.

"The move to place the governor's portrait on the examination papers is just," Akello told the media, adding children should "know their governor and have a closer relation with him."

Rasanga has so far stayed quiet on the controversy.

Source: New Vision

Haya makenya kumbe wakati mwingine ni mapuuzi kuliko matanzania?
 
Kenyans and Tanzanians are becoming like bickering old married couples here.
 
usisahau vazi la unafiki. hapo tutafika level yenu punde tu. Heri nijue kusoma, kuandika na kuhesabu kuliko kujidaganya stara zangu na ungwana zitaniokoa kutoka njaa.
Wazee wetu hawakujua kusoma Na kuandika Lakini hatukufa njaa Mkuu.... Hao Kenyan's ambao literacy ipo juu Mbona wanakufa na njaa,tena worse than us.
 
Wazee wetu hawakujua kusoma Na kuandika Lakini hatukufa njaa Mkuu.... Hao Kenyan's ambao literacy ipo juu Mbona wanakufa na njaa,tena worse than us.
Unabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EA
 
Unabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EA
Nope Mkuu.... Tanzania hakuna mtu ambae amekufa kifo Cha kukosa Chakula.. But in Kenya Kuna watu wanakufa kwa njaa I have seen it just miaka miwili tu nyuma.. Ubinafsi umewazidi
 
Unabweteka kenyans wanakufa njaa its actually the other way round. Hivi hauna habari nyie mna takwimu duni ya wenye njaa EA
Tena Ungejua tunavuna mpaka serikali inakosa uwezo wa kukusanya mazao... Na tunalisha majirani zetu kama Nyie Kenyans, Rwanda Na Somalia bila kusahau Kongo,Tena Muwe na shukrani asee
 
Nope Mkuu.... Tanzania hakuna mtu ambae amekufa kifo Cha kukosa Chakula.. But in Kenya Kuna watu wanakufa kwa njaa I have seen it just miaka miwili tu nyuma.. Ubinafsi umewazidi
Sorry mimi nimepata habari kuwa kuna watu wala viwavi jeshi singida. Hii urojo ya Kenya watu kufa njaa ni promo za western aid agencies. Humu jf kuna nyuzi tosha kuonyesha raia wa wapi wanashinda njaa
 
Tena Ungejua tunavuna mpaka serikali inakosa uwezo wa kukusanya mazao... Na tunalisha majirani zetu kama Nyie Kenyans, Rwanda Na Somalia bila kusahau Kongo,Tena Muwe na shukrani asee
Correction. Mnauza mazao excess kwa majirani. Hamna cha kushangaza hapo. Linaitwa biashara
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] upload system got messed up! It's true though, wakenya ni wajinga wajinga..

Nimekubali mkuu, sie wajinga wakutupa. Leo Friday, hamna hamaki hapa, baada ya swalla, nachukua mirungi niingie Uhuru Gardens nianze veve mimi, hii JF inanipandisha paresha buree.
 
Nimekubali mkuu, sie wajinga wakutupa. Leo Friday, hamna hamaki hapa, baada ya swalla, nachukua mirungi niingie Uhuru Gardens nianze veve mimi, hii JF inanipandisha paresha buree.
sasa je ....ujinga haufichiki ni kama pua
 
Vile vile huku mtu yangu. Sitajisumbua na ushindi yenye haipo, pitia jf ujionee uhalisia wa mambo
hapa ndipo ugomvi unaanzia Kiswahili gani hichi ...tafadhali tumia lugha yako hii hapana kwa kweli
 
Hiv ule utafit wa vichaa Tanzania ukienda Kenya utakuaje jaman
 
Back
Top Bottom