Exams cancelled after politician put face on papers

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
Rasanga.jpg

Wizara ya Elimu nchini Kenya umefuta/imesitisha mtihani wa utamilifu(Mock Exam) katika Kaunti Siaya baada ya Gavana wa Kaunti hiyo kushinikiza picha yake itokee katika karatsi za mitihani.

Picha hiyo ya Gavana Cornel Rasanga akiwa anatabasamu imewekwa kona ya juu mkono wa kulia katika karatasi za mitihani ya Mock kwa darasa la 8.

===============================

Mock primary school exams in part of western Kenya were cancelled Wednesday after a local politician had his face printed on the publicly-funded examination papers.

Cornel Rasanga's smiling, avuncular likeness was printed in the top right corner of mock exam papers distributed at regional primary schools this week.

On Wednesday local media reported Kenya's education minister had cancelled the mock exams and said officials involved would be punished.

The 59-year-old opposition governor of Siaya County on the shores of Lake Victoria was criticised for reportedly spending $17,000 (15,000 euros) of county funds in an apparent attempt to win the early support of future voters.

However, local education chief Pamela Akello defended her boss saying it is important that school children know who their governor is and that since the county sponsored the mock exams it was fitting that Rasanga's face should appear on the papers.

"The move to place the governor's portrait on the examination papers is just," Akello told the media, adding children should "know their governor and have a closer relation with him."

Rasanga has so far stayed quiet on the controversy.

Source: New Vision

Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.

Kuona kipindi hiko angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

View attachment 417246

Wizara ya Elimu nchini Kenya umefuta/imesitisha mtihani wa utamilifu(Mock Exam) katika Kaunti Siaya baada ya Gavana wa Kaunti hiyo kushinikiza picha yake itokee katika karatsi za mitihani.

Picha hiyo ya Gavana Cornel Rasanga akiwa anatabasamu imewekwa kona ya juu mkono wa kulia katika karatasi za mitihani ya Mock kwa darasa la 8.

===============================

Mock primary school exams in part of western Kenya were cancelled Wednesday after a local politician had his face printed on the publicly-funded examination papers.

Cornel Rasanga's smiling, avuncular likeness was printed in the top right corner of mock exam papers distributed at regional primary schools this week.

On Wednesday local media reported Kenya's education minister had cancelled the mock exams and said officials involved would be punished.

The 59-year-old opposition governor of Siaya County on the shores of Lake Victoria was criticised for reportedly spending $17,000 (15,000 euros) of county funds in an apparent attempt to win the early support of future voters.

However, local education chief Pamela Akello defended her boss saying it is important that school children know who their governor is and that since the county sponsored the mock exams it was fitting that Rasanga's face should appear on the papers.

"The move to place the governor's portrait on the examination papers is just," Akello told the media, adding children should "know their governor and have a closer relation with him."

Rasanga has so far stayed quiet on the controversy.

Source: New Vision
Too political,the governor & his team must be held accountable for the political menace !
 
wa Kenya ndio wanaoongoza kwa ujinga Africa
ilhali watz wanaongoza kwa ushirikina wa kula albino ili wapate utajiri.huo kama si ujinga utauitaje?pengine uuite mchanganyiko wa ujinga na ushirikina
 
haijawahi kutokea ujinga wa Tz ukaufananisha na wakenya we kwa ni mkikuyu au mjaluo?
 
basi utakua mkaramajong.....wakenya wanafikiria kwa kutumia akili za hayo makabila mawili tofauti na hapo makabila yaliyobakia ni bure
am not that either...personally I dont care which tribe am from cz I can move to every part of kenya when I want.I have my job and I can feed my family
 
Duh, kama hao ndio viongozi wao, unadhani watu wao wapoje?
Mungu saidia Africa.
 
ilhali watz wanaongoza kwa ushirikina wa kula albino ili wapate utajiri.huo kama si ujinga utauitaje?pengine uuite mchanganyiko wa ujinga na ushirikina
Mkuu we ni mnunuzi nin.... Maana Haka ka neno ka albino huwa hakakauki mdomoni...
 
illiteracy level Tanzania iko juuuuu sana, usije ji aibisha aise, numbers don't lie.
Illiteracy kwa Maana ya kujua kusoma Na kuandika.. But hii haimanishi watz ni wajinga coz though yaweza kuwa ivo but stara na uungwana ni vazi letu nahiyo ni akili kubwa Kuliko kujua kusoma Na kuandika
 
usisahau vazi la unafiki. hapo tutafika level yenu punde tu. Heri nijue kusoma, kuandika na kuhesabu kuliko kujidaganya stara zangu na ungwana zitaniokoa kutoka njaa.
 
illiteracy level Tanzania iko juuuuu sana, usije ji aibisha aise, numbers don't lie.
Ya watz shida ata si literacy, its basic IQ, ile ata mtu hajawai enda shule anafaa kua nayo, unajua si lazma uende shule ndo uwe mwerevu, kuna vitu vyengine its all about common sense na logic... hio pia unakuta hawamo, unakuna mtu anajaribu kueleza theory ya kwanini kitu kiko vile kilivyo, utacheka vile ata arrive to a certain conclusion
 
ulianza vizuri baadae ukadhihirisha wazi kwamba majority of Kenyan ni wajinga ......sasa una judge depending on your experience????? kwa exposure gani hasa uliyonayo ewe Mkikuyu ni nani aliyekuloga
 
am not that either...personally I dont care which tribe am from cz I can move to every part of kenya when I want.I have my job and I can feed my family
in Kenya tribal matters a lot ....labda useme sio mkenya ....hamjafikia kusema muna umoja bado sana tena sio leo may be 23th century
 
Mkuu we ni mnunuzi nin.... Maana Haka ka neno ka albino huwa hakakauki mdomoni...
hapana ndugu..mimi simnunuzi.nko sawa na wale ambao kaneno ka ukabila hakawakai midomoni
 
Back
Top Bottom