Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
Mzuri?Afu mkaka mzuri maskinii, 😢😢😭😭
Mzumbe zipo Main Campus Morogoro na ile ya Mbeya, hii ya wapi?Alienda Chuoni hapo kwa ajili ya kuhudhuria mahafari ya kuhitimu elimu ya Chuo kikuu yanayofanyika chuoni happ siku ya leo tar. 20. 11. 2025.
Ndiyo, muhandisamuMzuri?
Hilo litarajie sana, huko ndani wanaminywa wanatajana, hii ni mpaka FebruaryIla nn wakuu, hii serikali inazingua parefu Sana aisee
Huwezi shindana na dola, wanatajana wanadakwa mmoja mmoja, habari ni hizohizo Mbeya, Arusha, Mwanza, Mara, Dar.. kila mtu sasa analia kivyakeSafari vijana nao waanze kulipa kisasi ili heshima iwepo.
Soon mtaanza kushughulikiwa na nyie, hii haiwezi kuendelea kama mnavyofikiria, na umekiri dola ndio inahusika, hii mafia style mnayotumia will backfire big time, mmeharibu nchi hamna haki tena ya kuongozaHuwezi shindana na dola,wanatajana wanadakwa mmoja mmoja, habari ni hizohizo mbeya, Arusha,mwanza,mara,dar.. kila mtu sasa analia kivyake
Yanaua businesses na uchumi kwa ujumla, na kilichotokea sijui kama kuna fund au mkopo beberu ataachia, watu wakianza kukosa mishahara ndio watajua hii ni battle yetu wote sio Gen Z peke yaoUtekaji unaathiri pia ujio wa watalii nchini ,waache wajichimbie kaburi...sector ya utalii inaenda kufa kwa ujinga wa Mafwele na magenge ya wahuni wenzake.
Tumetimiza miaka 10 ya utekaji, hiyo februari ni ya kwako.Hilo litarajie sana,huko ndani wanaminywa wanatajana,hii ni mpaka February
Kivuli kinachoishi hiki mkuuWw umeshatekwa akili
Main campus morogoroMzumbe zipo Main Campus Morogoro na ile ya Mbeya, hii ya wapi?
Zingatia neno MAIN.Mzumbe zipo Main Campus Morogoro na ile ya Mbeya, hii ya wapi?