Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Police na vyombo vya usalama ndio vinahusika na utekaji na mauaji yanayoendelea, wanaona sawa ndio maana hata sura zao wameziacha wazi kabisa huku wakiteka watu mchana, hifadhini hizo picha, hawa wote will pay the price kwa huu ushenzi, either mtaani au mahakamani, time yao itafika tuu na wanajulikana