Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hebu ficha vitu vingine aisee! Yaani uone kuna Chief Kingalu bado unauliza tu? Vijana mnafeli hata kujua historia ya nchi yenu?Mzumbe zipo Main Campus Morogoro na ile ya Mbeya, hii ya wapi?
Na nyie zamu yenu ya kuminywa ikifika hatutaki milio.Hilo litarajie sana, huko ndani wanaminywa wanatajana, hii ni mpaka February
Hiyo ya Morogoro Main campusMzumbe zipo Main Campus Morogoro na ile ya Mbeya, hii ya wapi?
SijaelewaHebu ficha vitu vingine aisee! Yaani uone kuna Chief Kingalu bado unauliza tu? Vijana mnafeli hata kujua historia ya nchi yenu?
ITABIDI SAIV KILA MTU AMLINDE MWENZIE TULINDANE, KILA MTU ANUNUE KIPENGA/FILIMBI NA ATEMBEE NAYO MDA WOTE MFUKON UKIONA HATARI PIGA HUKU UKIOMBA MSAADA NA UKISIKIA KIPENGA TOKA NA SILAHA KUSAIDIA.Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe.
Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU).
Alienda Chuoni hapo kwa ajili ya kuhudhuria mahafari ya kuhitimu elimu ya Chuo kikuu yanayofanyika chuoni happ siku ya leo tar. 20. 11. 2025.
Jitihada kadhaa zimefanyika, kuhakikisha anapatikana lakini mpaka sasa hazijazaa matunda.
Tunaomba uutangazie umma.
View attachment 3505059
Soon utaamini kwamba dola haiwezi kushindana na ummaHilo litarajie sana, huko ndani wanaminywa wanatajana, hii ni mpaka February
wamefanana kwel icje ikawa wanamtafta tesha kwa kufananisha suraInasemekana anaundugu na TESHA
Haujawahi wewe kuzimikia wakaka wenye sura ngumu kama sisi. Wewe siku zote huwa unawapenda wakaka wazuri tu.Afu mkaka mzuri maskinii, π’π’ππ
SawaSoon utaamini kwamba dola haiwezi kushindana na umma
ImbicileWw umeshatekwa akili
Mchumba wakina nani wanatajana??Hilo litarajie sana, huko ndani wanaminywa wanatajana, hii ni mpaka February
Au ndio ile list wanaandikwa watu 20 watukutu kila tawi au mtaa ili kutuliza hali??Huwezi shindana na dola, wanatajana wanadakwa mmoja mmoja, habari ni hizohizo Mbeya, Arusha, Mwanza, Mara, Dar.. kila mtu sasa analia kivyake
Hapa bawasir yote imetoka nje, unataman umpe kisamvu cha kopoAfu mkaka mzuri maskinii, π’π’ππ
Kwa kweli nawapenda mahandisamu.Haujawahi wewe kuzimikia wakaka wenye sura ngumu kama sisi. Wewe siku zote huwa unawapenda wakaka wazuri tu.
Umejuajeeee?? ππππHapa bawasir yote imetoka nje, unataman umpe kisamvu cha kopo