Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023
Mhe.Exaud S.Kigahe amesema ndani ya Miaka Miwili Madarakani Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza Ilani ya CCM 2020-2025 katika Jimbo la Mufindi Kaskazini kwa viwango vikubwa.
Hii inajidhihirisha kwa Miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa Jimboni, Baadhi ya miradi hiyo ni ifuatavyo:
MIRADI YA BARABARA
Kwa Mwaka 2021/2022 serikali iliweza kupeleka jumla ya Shilingi Bilioni 1,339,234,400/= kwa ajili ya kutumika katika sekta ya Barabara kama vile:
•Shilingi Milioni 28,298,000/= kwa ajili ya maboresho ya Barabara ya Mdabulo-Ludilo (Km 5.7) na matengenezo Barabara ya Mkuta-Ludilo- Ilasa (Km 15).
•Shilingi Milioni 99,550,000/= kwa ajili ya matengenezo ya Barabara ya Utosi-Uhambila (Km 2.5), maboresho ya Barabara ya Mapogoro-Matelefu (km6) na matengenezo ya Barabara ya Nandala -Ihanu (km1.8).
•Shilingi Milioni 228,298,000/= kwa ajili ya maboresho ya Barabara ya Mdabulo-Ludilo (km5.7)na matengenezo ya Barabara ya Mkuta-Ludilo-Ilasa (km15).
•Shingi Milioni 122,301,400/= kwa ajili ya maboresho ya Barabara ya Ihalimba-Igomtwa-Usokami (Km 5) na Igomtwa-Ilandutwa (Km 3).
•Shilingi Milioni 449,605,000/= Maboresho ya Barabara ya Mtili-Ifwagi-Mdabulo na
•Shilingi Milioni 123,180,000/= matengenezo ya msimu Barabara ya Nundwe-Ikongosi (Km10) na Ifwagi-Mwitikilwa (Km 7.0)
Kwa Mwaka 2022/2023
jumla ya Shilingi Bilioni 1,672,184,643/= zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita na kuweza kutumika katika sekta ya Barabara kama vile:
•Matengenezo ya Barabara ya Ihanzutwa-Igomaa (Km 5.0) na Barabara ya Lugodalutali-Ikungwe (Km 6.0)
•Matengenezo ya Barabara ya Ikanga-Ibwanzi (Km 4.2) na Ujenzi wa Daraja la Ilondo B (8M Span)
•Matengenezo Barabara ya Lulanda-Mpangatazara Kilometa 15 ambapo utekelezaji unaendelea na
• Maboresho ya Barabara ya Tambalang'ombe-Kwatwanga (Km 15) kwa Kiwango cha Kokoto.
MIRADI YA UJENZI WA VITUO VA AFYA NA ZAHANATI
•Shilingi Milioni 500,000,000/= mwaka 2021-2022 zimetolewa kujenga Kituo cha Afya Kata ya Kibengu. Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetekeleza.
•Shilingi Milioni 500,000,000/= zimetolewa na Serikali kujenga kituo cha Afya Kata ya Sadani na Shilingi Milioni 50,000,000/= kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Utosi.
3. Shilingi Milioni 50,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ilasa-Mdabulo.
MIRADI YA MAJI
1. Katika kumtua Mama Ndoo kichwani, Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mwaka 2021/2022 ametoa fedha Shilingi Milioni 17,871,379/= kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Maji katika Kata ya Ifwagi,Ikongosi na Ihalimba. Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe.Exaud S.Kigahe anaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi Mradi huo upo hatua ya Majadiliano (Negotiation).
2. Serikali ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Milioni 317,000,000/= mwaka 2022 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji wa Sadani-Kihata utakaohudumia Vijiji vinne, Mradi huo umefikia 25% ya utekelezaji. Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe.Exaud S.Kigahe aliweza kukagua Mradi huo siku ya Ziara ya tarehe 20 Februari 2023
3. Shilingi Milioni 500,000,000/= kwa ajili ya Ujenzi wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Ukelemi na uyela ambapo Mradi huo umekamilika kwa 90%
4. Shilingi Milioni 118,702,194/= kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Maji Katika Kijiji cha Ihanzutwa kwa Sasa hatua ya utekelezaji ni Tathmini (Evaluation).
5. Shilingi Milioni 180,000,000 kwa ajili ya Ujenzi wa Mradi wa maji katika Kijiji cha Chogo ambapo tarehe 13 Februari 2023 Mkandarasi aliweza kusaini Mkataba huo.
6. Shilingi Milioni 164,000,000/= kwa ajili ya Ujenzi wa Mradi wa Maji katika Kijiji cha Ukami ambapo umekamilika kwa 100%.
7. Shilingi Milioni 108,000,000 kwa ajili ya Ujenzi wa miradi ya Maji katika Kijiji cha Kipanga A-Mradi upo hatua ya Michoro (Designing) Igombavanu-Kisima kimechimwa bado ujenzi na Ilogombe Mradi upo hatua ya Michoro (designing).
MIRADI WA UJENZI YA SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI
•Mwaka 2021/2022
1.Kata ya Kibengu Jumla ya Shilingi Milioni 592,500,000/= zilitolewa na Serikali kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa Kituo cha afya Tarafa ya Kibengu, kuwezesha ujenzi wa Madarasa Shule ya Msingi Usokami,ujenzi wa Madarasa Shule ya sekondari Kibengu na Ujenzi wa Madarasa katika Shule shikizi ya Kazombe uliopo Kijiji cha ilogombe.
Fedha za Mfuko wa jimbo,Mwaka 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 2,592,000/= zilitolewa kwa ajili ya kuwezesha ukarabati wa Miundombinu ya Shule katika Shule ya Msingi Kibengu,Igeleke, Igomtwa,Usokami ,Kipanga na Kilimahewa-Usokmi.
•Na mwaka 2022/2023 jumla ya Shilingi Milioni 1,956,000/= zimetolewa kwa ajili ya kuwezesha ; ukarabati wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Kibengu, ukarabati wa Madarasa Shule ya Msingi Usokami na Ujenzi wa Madarasa katika Shule ya Msingi Kipanga B.
2.*Kata ya Mapanda, jumla ya Shilingi Milioni 92,500,000/= zilipelekwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Madarasa Shule ya Msingi Mtwivila ,Ujenzi wa Madarasa Shule ya sekondari Kihansi,na ujenzi wa Madarasa katika Shule shikizi ya Ihemi iliyopo Kijiji cha Mapanda.
Fedha za Mfuko wa Jimbo, Mwaka 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 2,836,000/= zilipelekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa Vyoo Shule ya Msingi Ukami, ukarabati wa darasa shule ya Msingi Mapanda, ukarabati wa darasa Shule ya Msingi Chogo,Ujenzi wa darasa Shule ya Msingi Kisusa,Ujenzi wa choo Shule ya Msingi Ihimbo na Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Uhafiwa.
Na Mwaka 2022/2023 jumla ya shilingi Milioni 3,666,000/= zimepelekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa Choo Shule ya sekondari Kihansi, ukarabati wa darasa Shule ya Msingi Mapanda,Ujenzi wa ofisi ya serikali ya Kijiji cha Ukami, ukarabati wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ihimbo pamoja na Tank na Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Uhafiwa.
3. Kata ya Ifwagi ,Kwa Mwaka 2021/2022 serikali ulitoa jumla ya Shilingi Milioni 120,000,000/= kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa Madarasa Shule ya sekondari Itona,na jenzi wa Madarasa Shule ya sekondari Ifwagi.
Aidha,Fedha zilizopokelewa nje ya Bajeti Kwa Mwaka 2022/2023 ni Shilingi Milioni 20,000,000/= kwa ajili ya Ujenzi wa madarasa katika Shule ya sekondari Itona.
Mfuko wa Jimbo : Mwaka 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 2,740,200/= zilipelekwa kwa ajili ya kuwezesha;
Ujenzi wa hostel Shule ya sekondari Itona,ujenzi wa Vyoo Shule ya Msingi Ikonongo, ukarabati wa darasa Shule ya Msingi Mwitikilwa, ukariabati wa darasa Shule ya Msingi Ifupira na ufungaji wa Mfumo wa Maji katika Shule ya sekondari Itona.
•Mwaka 2022/2022 jumla ya Shilingi Milioni 2,608,000/= zimepelekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa Vyoo Shule ya Msingi Ikonongo,Ujenzi wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ifupira,Ujenzi wa Madarasa Shule ya Msingi Ifwagi,Ujenzi wa choo Shule ya Msingi Itona na ukamilishaji wa Kituo shikizi Malinda kilichopo Kijiji cha Mwitikilwa.
4.Kata ya Mdabulo, Mwaka 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 220,000,000/= zilitolewa na Serikali kwa ajili ya ;Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ilasa,Ujenzi wa Madarasa Shule ya sekondari Ihefu a Ujenzi wa Madarasa katika Shule ya sekondari Mdabulo.
Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Mwaka 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 6,248,000/= kwa ajili ya kuwezesha ;ukarabati wa darasa Shule ya Msingi mlevelwa, ukarabati wa ofisi Shule ya Msingi Mdabulo,Ujenzi wa Sekondari Ihefu,ukarabi wa darasa Shule ya Msingi Kinyimbili, ukarabati wa darasa Shule ya Msingi Kidete,ukarabati wa darasa Shule ya sekondari Mdabulo, ununuzi wa mabomba ya Maji Shule ya msingi Ikanga na ukarabati wa darasa katika Shule ya Msingi Ludilo.
Kwa Mwaka 2022/2023 jumla ya Shilingi Milioni 5,509,300/= zimepelekwa kwa ajili ya kuwezesha ; ukarabati wa ofisi ya Walimu Shule ya Msingi Ludilo, ukarabati wa nyumba ya Walimu Shule ya Msingi Kidete, ukarabati wa nyumba ya Walimu Shule ya Msingi Kinyimbili , Kusomba mchanga mchanga kwenda Shule ya sekondari Ihefu,ukarabati wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Mlevelwa na Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlevelwa.
Utekelezaji huo ni vile vile kwa namna Moja ama nyingine katika maeneo mengine ya Kata na Vijiji katika Jimbo la Mufindi Kaskazini.
MRADI WA MIKOPO 10%- WAMAMA, VIJANA & WALEMAVU
Takwimu ya Wanufaika wa mkopo wa 10% (Mapato ya ndani ) kwa ajili ya kuwezesha kuendesha shughuli mbalimbali za Maendeleo ni kama ifuatavyo:
. Kundi la Wanawake ; Wanawake awamu ya kwanza Disemba 2021/2022 jumla ya Shilingi Milioni 90,000,000/= zilitolewa kwa Vikundi 27 na awamu ya pili Mei 2021/2022 Jumla ya Vikundi 144 walipokea jumla ya Shilingi Milioni 228,000,000/=
Aidha,awamu ya kwanza Disemba 2022/223 jumla ya vikundi 45 wamepokea jumla ya Shilingi Milioni 94,500,000/=
• Kundi la Vijana, awamu ya kwanza Disemba 2021/2022 Jumla ya vikundi 24 vya Vijana walipokea Jumla ya Shilingi Milioni 125,000,000/= na awamu ya pili ya Mei 2021/2022 Jumla ya Vikundi 67 vya Vijana walipokea Jumla ya Shilingi Milioni 98,130,000/= . Aidha ,awamu ya kwanza Disemba 2022/2023 Vikundi 39 vya Vijana wamepokea jumla ya Shilingi Milioni 85,000,000/=
• Watu wenye ulemavu ,awamu ya kwanza Disemba 2021/2022 jumla ya vikundi 06 vya Watu wenye ulemavu walipokea Jumla ya Shilingi Milioni 8,000,000/= na awamu ya pili Mei 2021/2022 Jumla ya vikundi 45 walipokea jumla ya Shilingi Milioni 29,000,000/= Aidha, awamu ya kwanza Disemba 2022/2022 Mtu mmoja mwenye ulemavu ameweza kupokea jumla ya Shilingi Milioni 15,000,000/= kwa ajili ya shughuli zake za Biashara ya Mbao.
MRADI WA FEDHA ZA TASAF
Fedha za TASAF zilizotolewa na Serikali kwa mwaka 2021/2022 ni Shilingi Bilioni 1,461,895,280/=.
Miradi iliyotekelezwa kwa fedha hizo ni vijiji 25,Kati ya hivyo Kijiji cha Mwitikilwa na Ihanu wamepanda parachichi, Kijiji cha Makongomi , Kibada na Igombavanu wamechimba Malambo na vijiji 20 ambavyo ni Ludilo, Mlevelwa, Ihefu,Ikanga, Ilogombe,Vikula, Ihalimba, Chogo, Kilosa, Ukami, Nandala, Kipanga, Ihimbo,Nundwe, Itulavanu, mpangatazara, na Igeleke walipanda Miti.
Wakati huo Mapogoro na Uhambila waliweza kukarabati barabara.
Na Mwaka 2022/2023 Fedha zilizotolewa ni shilingi Bilioni 1,303,627,577/= ambapo utekelezaji bado unaendelea.
Pamoja na hayo yote fedha zilizopokelewa kutoka serikali kuu nje ya Bajeti ya Mwaka 2022/2023 jumla yake ni Shilingi Milioni 80,000,000/= ambapo fedha hizo zimepangiwa matumzi katika sekta ya Elimu kama; ujenzi wa darasa katika Shule ya sekondari Igombavanu, Shule ya sekondari Itona,Shule ya sekondari Ihalimba na Shule ya sekondari Ilongo iliyopo Kata ya Ikweha.
Bajeti ya Serikali kuu ya Mwaka 2022/2023 kwa shughuli zilizopangwa Katika Jimbo la Mufindi Kaskazini Jumla yake ni Shilingi Bilioni 1,396,450,000/=
🇹🇿KaziIendelee
#Mufindi Kaskazini ni yetu
#Exaud S.Kigahe
17 March 2023.