Excavator Operator, natafuta kazi

Excavator Operator, natafuta kazi

kingkaka_12

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
17
Reaction score
22
Hi everyone,

Naitwa Hamza ni Operator wa excavator nilikuwa natafuta kazi nina uzoefu usio pungua miaka mi4 sasa kwa yoyote anae fahamu wanapohitajika ma Operator naomba msaada wako kunijulisha.

Asante
 
Hi everyone,

Naitwa Hamza ni Operator wa excavator nilikuwa natafuta kazi nina uzoefu usio pungua miaka mi4 sasa kwa yoyote anae fahamu wanapohitajika ma Operator naomba msaada wako kunijulisha.

Asante
Haupigi kidumu kweli mkuu. Mana Alibaba ,.Mimi machomacho,
 
Dah alaf deal ilikuwepo kuna operator mmoja alileta maringo wakati kazi imebaki kidogo ikabidi nikajifunze ku operate excavator kupitia YouTube
Nikamamizia kazi mwenyewe
ila kwa Sasa imepata operator mwingine
 
Amn shida kaka kukiwa na nafasi utanijulisha number angu ni hii 0744185019
 
Back
Top Bottom