Kwa watu wa Public Adminstration in records kwenye package ya excel inakuwaje. Yani nasoma nin na nini
Asante na karibu sana ndugu "talnam", excel ni cut across application software ambap ukielewa utaweza itumia kulingana na maitaji yako husika.
Muhim kujua ni:
Excel inafanya kazi kubwa ya data;
(i) Kuingiza /Kuhifathi data
(ii) Kuchakata data- Data processing
(iii) Reporting
(iv) Analysis of the data.
Public Administration walio wengi tulio wafundisha wameitumia Excel kwenye;
(a) Kutengeneza Budget kazini kwao
(b) Kutengeneza kalenda ya mwaka kwa wafanyakazi wao, kujua ni lini na wafanyakazi wangapi wanapaswa kwenda likizo
(c)Kutengeneza KPI za wafanyakazi hapo kazini kwao.
Hivyo ni vichache sana ndani ya excel.
Excel iko so powerfull, ni uwezo wako tuu wa kumaster ndo unaweza kufanya vitu viwe lain kazini.
Karibu sana.
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie:training@comskills.co.tz
"We train, You Change the World"