Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo hili halihusiani na Kampuni yetu ( COMSKILLS- "THE COMPUTER SKILLS") Hatutohusika na chochote,kama una maswali;Tangazo...
Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant. Mwanafunzi akijiunga na hii program anaweza kupata faida zifuatazo:
1. Kupata fursa ya kujiunga na Diploma moja kwa moja kwenye fani aitakayo mara baada ya kumaliza.
2. Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu ya Tanzania
3. Kupata professional skills na cheti kwenye areas kama Accounts,Procurement, Marketing, Stores, Logistics mgt, nk.
Wahi sasa kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii. 0718476238 au 0742934704. Course inatolewa na Institute of Procurement and supply IPS- chanika
Asante sana "Microsafi" tunakukaribisha ukaongeze ujuzi ili kuleta ufanisi katika kazi zako.nzuri hiyo
Hii inamaanisha ni office applicationsMasomo pia kama Basic Computer Knowledge yanaendeshwa kila siku na yanadumu kwa wiki tano masaa mawili kwa siku.
Kwa garama ya Tshs.200,000/= hapa unapata kitabu kimoja na flash disk 4GB bure.
Karibuni sana

Hii inamaanisha ni office applications
Asante sana ndugu "Inamonga" na karibu ukaongeze ujuzi na kuleta ufanisi zaidi.