Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Mkuu, hauna kitabu?
Asante sana ndugu "Aleyn" Kitabu kipo full colored manual yenye kuelezea ngazi kwa ngazi za kila somo husika. Kina mazoezi ya kutosha kukuwezesha kukitumia hata ukiwa huna mwalimu.
Karibu sana
 
New Ad.jpg
 
Tangazo...
Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant. Mwanafunzi akijiunga na hii program anaweza kupata faida zifuatazo:

1. Kupata fursa ya kujiunga na Diploma moja kwa moja kwenye fani aitakayo mara baada ya kumaliza.
2. Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu ya Tanzania
3. Kupata professional skills na cheti kwenye areas kama Accounts,Procurement, Marketing, Stores, Logistics mgt, nk.
Wahi sasa kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii. 0718476238 au 0742934704. Course inatolewa na Institute of Procurement and supply IPS- chanika
 
Tangazo hili halihusiani na Kampuni yetu ( COMSKILLS- "THE COMPUTER SKILLS") Hatutohusika na chochote,kama una maswali;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Fika ofisini: Makumbusho Business Complex, 2nd Floor.
Asante na karibu sana
 
Madarasa yameanza kwa intake mpya...lkn hujachelewa kuja kuongeza ujuzi na kuleta ufanisi katika kazi zako.
Wahi sasa;
Tupigie: 0717 7185 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni nyote
 
Masomo pia kama Basic Computer Knowledge yanaendeshwa kila siku na yanadumu kwa wiki tano masaa mawili kwa siku.
Kwa garama ya Tshs.200,000/= hapa unapata kitabu kimoja na flash disk 4GB bure.
Karibuni sana
Hii inamaanisha ni office applications
 
Back
Top Bottom