Asante ndugu "ng'wanankamba", Sage Pastel inafundishwa. Basic & Advance yake. Muda ni wiki mbili.Mnafundisha Sage?
Coz gani ?? Mbona hakuna tangazo humu linaloonesha hizo course na ni lini zinaanza??Madarasa mapya yametangazwa..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote.
Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi.
The Computer Skills ( COmSkills) ni kampuni inayobobea na utoaji mafunzo na ushauri kwenye nyanja za IT & Financial System/Software. Tutaendesha kozi zifuatazo.Coz gani ?? Mbona hakuna tangazo humu linaloonesha hizo course na ni lini zinaanza??
1.Tally ERP & QuickBookssamahani naomba kujua kozi zenu za hivi karibuni
Nyanda za juu kusini i.e. Iringa, Mbeya ... lini?Madarasa mapya yalianza tr 21/05/2018 jion..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote. Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi.
Asante sana ndugu, "Patandi" huku tumepaweka kwenye ratiba. Mwezi wa tisa tutafanya Mbeya mjini. Ila tutawataarifu kwa kina zaidi siku zikikaribia.Nyanda za juu kusini i.e. Iringa, Mbeya ... lini?
okThe Computer Skills ( COmSkills) ni kampuni inayobobea na utoaji mafunzo na ushauri kwenye nyanja za IT & Financial System/Software. Tutaendesha kozi zifuatazo.
1.Tally ERP & QuickBooks
- Introduction to Ms Excel for Accountant
- Basic Features of both Tally & QuickBooks
- Advanced Features of both Tally & QuickBooks
Tarehe: 21/05/2018 - 01/06/2018, Muda: 10:00 Jion - 12:00 Usiku
Ukumbi: MAKUMBUSHO Business Complex 2nd FLOOR
Ada: Tshs. 350,000/= Each @ (ukisomazote tutakupa punguzo la 10%)
Note: miezi mitatu bure ya kukusaidia kwa ulicho kisoma kama utatizika huko kazini
2. Advanced Excel for Professional
Tarehe:21/05/ 2018 - 01/06/2018
Ukumbi:MAKUMBUSHO Business Complex 2nd FLOOR
Muda: saa 11 jioni - 2 usiku.
Walengwa:Accountants, Business Managers,HR, Auditors, Corporate Finance, & Interested Parties.
Ada: Tshs. 350,000/= (hii itajumuisha;kitabu cha kozi(A full colored manual) na miezi mitatu ya kukusaidia kwa ulichokisoma kama utatizika huko kazini)
kujiunga au kama una chochote cha kuuliza;
call: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
send: training@comskills.co.tz
Visit: www.comskills.co.tz
Office: Tupo wazi kuanzia saa 11 asubuhi - saa tatu usiku kila siku.
Karibuni sana.
Moto: "Add Skills, Show Your Potential"
Mimi na timu yangu tunasubiri ratiba ya nyanda za juu kusini.Madarasa ya Tally ERP & QuickBooks, Advanced Excel yanaingia wiki ya pili. Karibu sana ujiandikishe kwenye special class la wale ambao hawakubahatika kuanza nasi wiki ya jana (wiki ya kwanza).
Karibu sana;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Asante sana mkuu.Mimi na timu yangu tunasubiri ratiba ya nyanda za juu kusini.
Tutashukuru na tutawasiliana Zaidi muda ukikaribia/Asante sana ndugu, "Patandi" huku tumepaweka kwenye ratiba. Mwezi wa tisa tutafanya Mbeya mjini. Ila tutawataarifu kwa kina zaidi siku zikikaribia.
Karibu sana,
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
hivi mna TYPING course maana mikono yangu mizito sana kwenye kutype mnanisaidiaje sasaMadarasa ya Tally ERP & QuickBooks, Advanced Excel & Project Manager usajili umeanza.
Karibu sana;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Asante sana "Zigi 01",hatuna TYPING course hapa kwetu, kukusaidia tuu ni kufanya mazoezi mengi ya kutumia keyboard na pia kuna software za kukusaidia jinsi ya mpangilio wa vidole na alama pia. Muhim ni kujibidisha wakati wa kuandika. Ni uhakika wetu utaweza kumudu bila hata kutumia pesa.hivi mna TYPING course maana mikono yangu mizito sana kwenye kutype mnanisaidiaje sasa