Niko nyanchabhakhenye(Tarime vijijini ndani kabisa) so itakuwa ngumu kuja kusoma kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Nahitaji msaada nduguAsante sana ndugu "OG12", tunataman sana kukusaidia. Lakini tungekushauri uje kusoma ili upate ujuzi zaidi na uelewa mkubwa wa yale yaliyomo kwenye kitabu chetu pendwa. Itakusaidia sana kwenye nyanja nzima ya ICT.
Karibu sana,
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Ofisi zipo Makumbusho Bus stand, gorofa ya pili.
Muda wa ofisi: saa 12 asubuhi mpaka saa nne usiku siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app