Asante ndugu,"Anibariki Anyisitse Sanga".Wapi unapatikana na contact ziko wapi mkuuu
Karibu sana mkuu,Hapo umefanya vema kutoa contact zenu
Nina laki mbili na nusu Mkuu nije?Madarasa mapya yametangazwa..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote.
Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi.
Asante ndugu "Miss Natafuta",kwa bei hiyo uliyonayo waweza kusomaNina laki mbili na nusu Mkuu nije?
Sitaki hyo mkuuAsante ndugu "Miss Natafuta",kwa bei hiyo uliyonayo waweza kusoma
-Basic & Intermediate Excel for Professional
kwa hapa utapata ujuzi kwenye vitu hivi;
-Data Entry
- Simple Excel data manipulation
-Simple Analysis
- Simple Report
-Quality of the Data and how to protect it.
Hii ni kwa muda wa wiki moja - (10hrs-2hrs/day)
Bei: Tshs. 200,000/= tu!
Karibu sana,
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz