Excellent Training Center

Excellent Training Center

Joined
Aug 9, 2017
Posts
65
Reaction score
24
Habari ndugu, Excellent Training Center ni kituo cha kufundisha masomo ya QT na wanaorudia form IV, pia tunafundisha Elimu ya Watu Wazima wasio jua kusoma na kuandika. Kwa miaka yote tumekuwa tukifanya vizuri kwa wanafunzi wetu.
Pia tunahusika na kufundisha Lugha za Kigeni kama vile Kiingereza, Kichina na Kifaransa
Tupo, Upanga karibu na Regency Hospital
Kwa mawasliano zaidi piga Namba hii 0676450289 (Mwalimu Jackson)
 
Back
Top Bottom