Exchange deal ya kiwanja na toyota alphard no E

Exchange deal ya kiwanja na toyota alphard no E

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Habari wapendwa!

Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara.

YEYE:

Kiwanja 30 kwa 30

Kipo kibaha mail moja

Kina beacons tayari, kina pagale zuri hatua ya rinta, umeme na maji jirani kabisa....thamani yake 22ml (means mnaweza ongea nae)

Anataka gari aina ya ALPHARD nyeusi iwe no E. Makubaliano mtafanya baada ya kujadiliana na kuona mali husika...anauza hilo eneo shida kupata wateja haraka ndio imekuwa shida, ndio mana kawaza wazo hili sababu akiuza napo ni poah ili atafute gari..lakini mtu ataeona fursa ya Ardhi ni zaidi ya Gari basi hii imekaa poa zaidi..changamkieni.

Nicheki niwaunganishe 0652656565
 

Attachments

  • IMG-20240923-WA0011.jpg
    IMG-20240923-WA0011.jpg
    94.5 KB · Views: 10
  • IMG-20240923-WA0008.jpg
    IMG-20240923-WA0008.jpg
    124.9 KB · Views: 8
  • IMG-20240923-WA0015.jpg
    IMG-20240923-WA0015.jpg
    174.6 KB · Views: 7
  • IMG-20240923-WA0016.jpg
    IMG-20240923-WA0016.jpg
    129.1 KB · Views: 8
  • IMG-20240923-WA0017.jpg
    IMG-20240923-WA0017.jpg
    97.8 KB · Views: 10
  • IMG-20240923-WA0010.jpg
    IMG-20240923-WA0010.jpg
    106.9 KB · Views: 10
Nyumba kwa gari!!! Anyway sijui alichowaza ila ningemshauri atafute namna nyingine ardhi unatakiwa kuiuza mnunuzi akitaka ili upange bei nzuri sio kuamua tu kuuza mteja ajipangie bei
 
Nyumba kwa gari!!! Anyway sijui alichowaza ila ningemshauri atafute namna nyingine ardhi unatakiwa kuiuza mnunuzi akitaka ili upange bei nzuri sio kuamua tu kuuza mteja ajipangie bei
Nadhani kawaza gari ya biashara zaidi kuliko kiwanja na boma vinavyokaa tu bila msaada wa daily bread. Kimsingi nilimwambia auze apate pesa kwanza..yeye naona ana haraka. Hajui mitandao ndo mana nilileta wazo lake kwa niaba yake
 
Back
Top Bottom