Mimi sijui taratibu za utumaji wa hizo pesa, lakini nimeiona hiyo heading ikanifanya nifungue kuona nini kinazungumziwa kuhusu hiyo ''Change late'' sijui unamaanisha nini? Au ulikua na maana ya ''Exchange rate''. Hii itafanya hata wale wanaoweza kukusaidia washindwe kukuelewa.