Exchange rate

Exchange rate

deo bruno

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Jamani nipo hapa kutaka kujua ni njia gani zinazotumika kutuma pesa toka ulaya. Niliiona post moja inayo husu hii maada lakini sikurizishwa na majibu.
Naombeni msaada wenu jamani.
 
Mkuu hebu jaribu kujaza nyama kwenye Uzi huu. Unataka kutuma pesa kutoka Ulaya kwenda wapi?
 
Mimi sijui taratibu za utumaji wa hizo pesa, lakini nimeiona hiyo heading ikanifanya nifungue kuona nini kinazungumziwa kuhusu hiyo ''Change late'' sijui unamaanisha nini? Au ulikua na maana ya ''Exchange rate''. Hii itafanya hata wale wanaoweza kukusaidia washindwe kukuelewa.
 
Back
Top Bottom