Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones.

Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni kitendo cha Diamond kumwambia Rommy aweke utaratibu wa kujitegemea yeye mwenyewe alafu yeye atamsapoti. Inasemekana Rommy hakufurahi kaona kama kadhalilishwa, kumbukeni Rommy hajui ata bei ya viatu kila kitu anawezeshwa na Diamond.

Wengine wanasema chanzo ni Zari inasemekana Rommy ambae ni swaiba wake na Wema alikuwa anajaribu kumshawishi kwa muda mrefu Diamond arudishe mapenzi kwa Wema huku akisaidiwa na Aunt. Hii ilimuuzi sana Diamond maana Diamond kwa sasa jicho lake lote lipo kwa mwanae Tiffa na mpenzi wake Zari sasa kuona mtu wake wa karibu anamshawishi kuvuruga furaha yake ikaleta doa kwenye uswahiba wao.

Kingine ni ishu ya Wasafi records label mpya ya Diamond ambayo kawekeza pesa ndefu lakini kampa usimamizi ndugu yake mwingine anaitwa Ricardo kuisimamia upande wa wasanii na studio na upande wa photo point kampa kifesi ambaye amemnunulia vifaa vya kisasa toka South Africa. Rommy anaona kama kawekwa kando kwenye ufalme wa Wasafi. Mama Diamond nae analaumiwa sababu ameegemea upande wa mwanae.

Mimi nawashauri awa watu wamalize tofauti zao wakae chini waelewane Rommy ajaribu kumwelewa Diamond kwa sasa ni baba hivyo kuna vitu lazima vibadilike akilini mwake hawezi tena kuwa yule Diamond aliokuwa anasikiliza ushauri wako na Halima na Petii.

Pia Dangote ajitahidi kumwelewa cousin wake ni mtu wa aina gani hawezi kubadilika fasta kama unavyotaka Rommy starehe ujiko na show off ndio imekuwa maisha yake tangia utoto awezi kufikiria kama wewe unaewaza future ya mwanao na mama na dada zako.

Copyright Jamiiforums
 
hii nilitaka ileta toka last week niliiona instagram na kama mnafuatilia wasafi now wame muintroduce dj mpya.
 
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
 
Yah hata mimi najua hivyo.. lakini kama kweli jamaa alimwambia now aanze endesha maisha yake atamoa support ililiwa jambo zuri maana mimi uwa nashangaa sijawahi ona biashara au property yoyote ya rommy.
Japo uwa anamashauzi lakini sijawahi ona kapost kitu chochote cha maana anachomiliki.
 
Mie kuna mtu nilisikia anaongelea hii Dai na Rommy wametofautiana.

Maana zamani Rommy alikua anasafiri na Dai karibu kila sehem ila siku hizi yuko mwenyewe mwenyewe tu......,
 
Kama ni kweli then sio nzuri kwa wasafi maana baadae wataanza semana kama watoto wa kike
 
Asa nyie vipi kubwa lote lile rommy baada.ajifunze kuvua samaki yeye anangangania kupewa samaki mpaka lini ndugu zangu
 
Pia Diamond kamtosa baunsa wake namuona naye kapoa sana full mawazo Njaa Kali.
 
Maisha hubadilika sasa kama yeye rommy ana akili mgando za kuwaza tu starehe atakua anaharibu.mwenzie baba sasa hivi so kila anachopata lazima asevu kwa ajili ya familia so naye asome upepo ajiongeze maisha yaendelee.
 
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones.

Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni kitendo cha Diamond kumwambia Rommy aweke utaratibu wa kujitegemea yeye mwenyewe alafu yeye atamsapoti. Inasemekana Rommy hakufurahi kaona kama kadhalilishwa, kumbukeni Rommy hajui ata bei ya viatu kila kitu anawezeshwa na Diamond.

Wengine wanasema chanzo ni Zari inasemekana Rommy ambae ni swaiba wake na Wema alikuwa anajaribu kumshawishi kwa muda mrefu Diamond arudishe mapenzi kwa Wema huku akisaidiwa na Aunt. Hii ilimuuzi sana Diamond maana Diamond kwa sasa jicho lake lote lipo kwa mwanae Tiffa na mpenzi wake Zari sasa kuona mtu wake wa karibu anamshawishi kuvuruga furaha yake ikaleta doa kwenye uswahiba wao.

Kingine ni ishu ya Wasafi records label mpya ya Diamond ambayo kawekeza pesa ndefu lakini kampa usimamizi ndugu yake mwingine anaitwa Ricardo kuisimamia upande wa wasanii na studio na upande wa photo point kampa kifesi ambaye amemnunulia vifaa vya kisasa toka South Africa. Rommy anaona kama kawekwa kando kwenye ufalme wa Wasafi. Mama Diamond nae analaumiwa sababu ameegemea upande wa mwanae.

Mimi nawashauri awa watu wamalize tofauti zao wakae chini waelewane Rommy ajaribu kumwelewa Diamond kwa sasa ni baba hivyo kuna vitu lazima vibadilike akilini mwake hawezi tena kuwa yule Diamond aliokuwa anasikiliza ushauri wako na Halima na Petii.

Pia Dangote ajitahidi kumwelewa cousin wake ni mtu wa aina gani hawezi kubadilika fasta kama unavyotaka Rommy starehe ujiko na show off ndio imekuwa maisha yake tangia utoto awezi kufikiria kama wewe unaewaza future ya mwanao na mama na dada zako.

Copyright Jamiiforums

umesikia tetesi za watu kutofautiana halafu unatoa ushauri wa watu hao kupatana??...una matatizo wewe sio bure!
 
Niliwah kutazama intavyuu ya rommy kwny sporah show..(tizama youtube) rommy na chibu wametoka mbali sana sana yani...hawawezi wakagombana!hata wakigombana watapatana!!Trust me.... so jamani kama vp watu waendelee na kazi wakipatana sie tulishaingiza siku.. kifupi isishadadiwe kiviile..
 
Diamond kafilisika.. Kuna jamaa kanibia account yake pale CRDB haina kitu kabisa
 
Maisha hubadilika sasa kama yeye rommy ana akili mgando za kuwaza tu starehe atakua anaharibu.mwenzie baba sasa hivi so kila anachopata lazima asevu kwa ajili ya familia so naye asome upepo ajiongeze maisha yaendelee.

Baunsa wake kenda nae Uganda juzi hahahahha
 
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones.

Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni kitendo cha Diamond kumwambia Rommy aweke utaratibu wa kujitegemea yeye mwenyewe alafu yeye atamsapoti. Inasemekana Rommy hakufurahi kaona kama kadhalilishwa, kumbukeni Rommy hajui ata bei ya viatu kila kitu anawezeshwa na Diamond.

Wengine wanasema chanzo ni Zari inasemekana Rommy ambae ni swaiba wake na Wema alikuwa anajaribu kumshawishi kwa muda mrefu Diamond arudishe mapenzi kwa Wema huku akisaidiwa na Aunt. Hii ilimuuzi sana Diamond maana Diamond kwa sasa jicho lake lote lipo kwa mwanae Tiffa na mpenzi wake Zari sasa kuona mtu wake wa karibu anamshawishi kuvuruga furaha yake ikaleta doa kwenye uswahiba wao.

Kingine ni ishu ya Wasafi records label mpya ya Diamond ambayo kawekeza pesa ndefu lakini kampa usimamizi ndugu yake mwingine anaitwa Ricardo kuisimamia upande wa wasanii na studio na upande wa photo point kampa kifesi ambaye amemnunulia vifaa vya kisasa toka South Africa. Rommy anaona kama kawekwa kando kwenye ufalme wa Wasafi. Mama Diamond nae analaumiwa sababu ameegemea upande wa mwanae.

Mimi nawashauri awa watu wamalize tofauti zao wakae chini waelewane Rommy ajaribu kumwelewa Diamond kwa sasa ni baba hivyo kuna vitu lazima vibadilike akilini mwake hawezi tena kuwa yule Diamond aliokuwa anasikiliza ushauri wako na Halima na Petii.

Pia Dangote ajitahidi kumwelewa cousin wake ni mtu wa aina gani hawezi kubadilika fasta kama unavyotaka Rommy starehe ujiko na show off ndio imekuwa maisha yake tangia utoto awezi kufikiria kama wewe unaewaza future ya mwanao na mama na dada zako.

Copyright Jamiiforums

diamond mtu makin sana anaheshimu kazi sana aangalii undugu
 
Back
Top Bottom