Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
Hehehehe we nawe unataka maruhaniwa wanikute hapa wanipe matusi
Huyu Rommy akue kiakili basi, Bata za kipuuzi mpaka lini wakat mwenzake tayari ana familia? Au alitaka Mondy ndo awe anamnunulia hadi ped za madem wake?
Huu ni ujinga na umasikini uliopitiliza, undugu usiwe tabu kunyonyana kila mtu ale kwa jasho lake, yeye aendelee tu kupost matangazo yake insta, tangazo 1 kwa buku jero, mungu atamsaidia.
Sema HakiyaMungu
Hakyamunguu
Haaaa alianza biashara ya kupost Matangazo kwenye akaunti yake.. sijui imeishia wapi
Inabidi aendelee kumshukuru Diamond maana anasemaga bila yeye hata Pasport yake isingekua imejaa mihuri ya nchi mbali mbali
Kama kweli Diamond amemwambia jambo hilo Rommy basi anampenda sana na nina sikitika kusema kuwa Diamond pamoja na mapungufu yake lakini ni mtu makini sana...maana ukiona ndugu yako ana kushauri jambo kama hili unatakiwa kulia machozi ya furaha kwa kuwa ana kujali sana..Nae ajitegemee Heee ndo nini hadi guest house alipiwe na ndugu yake, na ajue mwenzie sahivi ana familia mambo lazma yabadilike kama hataki kujitegemea akakae kwa wema sepetu
Kama kweli Diamond amemwambia jambo hilo Rommy basi anampenda sana na nina sikitika kusema kuwa Diamond pamoja na mapungufu yake lakini ni mtu makini sana...maana ukiona ndugu yako ana kushauri jambo kama hili unatakiwa kulia machozi ya furaha kwa kuwa ana kujali sana..
Ndugu wengi hufurahia sana wakiona watu wao wana wategemea milele na milele...! Bila shaka kama ni jambo hili basi Diamond ni mtu mwema na mwenye upendo wa kweli!
Kuna vitu Diamond kaviona haviko sawa na kaona amwambie nduguye..!
Lakini naamini jambo kama hili ni dogo na hakuna ugomvi wowote na wataelewana tuu na wameshaelewana maana hawa ni ndugu!
Sidhani kama wana utofauti kama watu wanavyo jaribu kusema ata kwenye kura zake anampost Diamond tena kwenye wimbo mpya..!Hahaaaa Rommy Jones anaisoma namba sasa,mapicha ya Kula bata Instagram kwishney Patel sasa ni kupost kuuza simu,nguo etc Kweli adui muombee Njaa ataonyoosha mikono juu hata Kama alikuwa shujaa.
Buku 30 kwa tangazo.....
Diamond kafilisika.. Kuna jamaa kanibia account yake pale CRDB haina kitu kabisa
Kakuambia aaagh
Na benki acc nyingine kafatilie pia
Wivu umewajaa wengi kutungaaaaaaaa tu
Wawaache ndugu hao wapo pamoja kama kawa.