Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?

Mtumai cha ndugu hufa masikini. Hata baba na mama wakiona ushakuwa na unaweza kijitegemea pia hukutosa.
 
Huyu Rommy akue kiakili basi, Bata za kipuuzi mpaka lini wakat mwenzake tayari ana familia? Au alitaka Mondy ndo awe anamnunulia hadi ped za madem wake?

Huu ni ujinga na umasikini uliopitiliza, undugu usiwe tabu kunyonyana kila mtu ale kwa jasho lake, yeye aendelee tu kupost matangazo yake insta, tangazo 1 kwa buku jero, mungu atamsaidia.
 

Buku 30 kwa tangazo.....
 
Haaaa alianza biashara ya kupost Matangazo kwenye akaunti yake.. sijui imeishia wapi

Inabidi aendelee kumshukuru Diamond maana anasemaga bila yeye hata Pasport yake isingekua imejaa mihuri ya nchi mbali mbali

Mpaka apo alipofikia ashukuru tu kwa kweli, maana sio kwa trip zile za ulaya mpaka akina warumi roho zikatuuma
 
Nae ajitegemee Heee ndo nini hadi guest house alipiwe na ndugu yake, na ajue mwenzie sahivi ana familia mambo lazma yabadilike kama hataki kujitegemea akakae kwa wema sepetu
Kama kweli Diamond amemwambia jambo hilo Rommy basi anampenda sana na nina sikitika kusema kuwa Diamond pamoja na mapungufu yake lakini ni mtu makini sana...maana ukiona ndugu yako ana kushauri jambo kama hili unatakiwa kulia machozi ya furaha kwa kuwa ana kujali sana..

Ndugu wengi hufurahia sana wakiona watu wao wana wategemea milele na milele...! Bila shaka kama ni jambo hili basi Diamond ni mtu mwema na mwenye upendo wa kweli!

Kuna vitu Diamond kaviona haviko sawa na kaona amwambie nduguye..!

Lakini naamini jambo kama hili ni dogo na hakuna ugomvi wowote na wataelewana tuu na wameshaelewana maana hawa ni ndugu!
 

Hahaaaa Rommy Jones anaisoma namba sasa,mapicha ya Kula bata Instagram kwishney Patel sasa ni kupost kuuza simu,nguo etc Kweli adui muombee Njaa ataonyoosha mikono juu hata Kama alikuwa shujaa.
 
Hizi bifu nyngine huwa zinawapa watu umaarufu sana na hapo watajisifia kupiga mpunga...Le mutuz akiingia kati kidogo tu hapo utamsikia......
 
Hahaaaa Rommy Jones anaisoma namba sasa,mapicha ya Kula bata Instagram kwishney Patel sasa ni kupost kuuza simu,nguo etc Kweli adui muombee Njaa ataonyoosha mikono juu hata Kama alikuwa shujaa.
Sidhani kama wana utofauti kama watu wanavyo jaribu kusema ata kwenye kura zake anampost Diamond tena kwenye wimbo mpya..!
 
Rommy aliwekaga kuwa passport yake imejaa na anashughulikia sasa haya mengine mmmh

Mbona na yeye kuweka fursa ya kupata pesa kama wengine isiwe shida.

Wao wanamiliki WCB pamoja yeye ni Vaisi Presidenti sasa haya yote kusema chini chini ni sababu hakwenda Uganda mengine muwaachie wale ni ndugu na wametoka mbali.


Tabu ya wa TZ ni muone kila kitu pichani ndio mnasema ndugu wapo pamoja.

Mmmh mnatia aibu
 
Na bikira wa kisukuma pia hawapatani
 
Diamond kafilisika.. Kuna jamaa kanibia account yake pale CRDB haina kitu kabisa

Kakuambia aaagh

Na benki acc nyingine kafatilie pia

Wivu umewajaa wengi kutungaaaaaaaa tu

Wawaache ndugu hao wapo pamoja kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…